Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Dah

Apple Bado
 
Kwahyo akitaka picha ya earpods ili ahakikishe quality uliyouziwa utakuja kuchukua picha ya hizi za Extrovert.

Ila umenisusa sio kidogo mama.
 
Wenye akili kumbe tupo wengi, umefanya matumizi sahihi kabisa ya hela πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we ununue earphone laki 5 kweli. Hata kama una hela ila hapana.
 
ungekuwa karibu ningekuachi kwa siku kadhaa ujionee mwenyewe kaka.
mwenyewe mlevi wa mziki, kwaio suala la kinu ninachotumia kupata taste ya miziki nazingatia sana.
We uko wapi kwani? πŸ˜€ Uko Djibouti au mimi huwa siwekagi hela ambako satisfaction siipati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…