Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Hahaha
 
Mkuu,

Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.

Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Oraimo earpods hata laki hazifiki. Nishatumia 3, 4 imetoka majuzi sijaipata na nimetumia yale makubwa ndio sijayapenda kabisa.
Pia Huawei, Oppo ingawa hawa bei yao kubwa kidogo kulingana na ubora wanakuwa na earpods nzuri
 
Inner ear Bass yake ni nzuri iko balanced na stereo. Mdundo mkubw na mchicha mwingi sema mi huwa sipendagi stereo huwa naiedit kidogo.

Zile generation ya kwanza zenye tobo ndio sizipendagi.
Mkuu stereo ni kuchagua sauti eidha itoke kwenye Spika kwa kupokezana kwa maudhui tofauti
Mfn spika zipo kushoto na kulia basi ukiweka stereo kam hiyo audio inasuporty STREO MODE
utapata ladha ya ile surround sikio moja anaimba msanii sikio jingine unasikia beat
AU Hata movie ipo hvyhvyo pia unaweza kusikia wanajibishana huyo anaongea kwa spika ya left huyu spika ya right kama mapigano kinavunjika kitu kioo nk unasikia kinavunjika kwenye spika ya kushoto kulia unasikia sauti nyingine

Mono sauti zinatoka pamoja kwenye spika zote kwa pamoja haina LEFT RIGHT

OKAY
STREO haiusiani na TREBLE mid au BASS

Hvyo wewe unaEDIT graphics equalizer
ili kupata BASS nzuri ambayo haina TREBLE

TREBLE ni HIGH PINCH ama unaweza sema HIGH FREQUENCY ambayo inaanzia kwenye 6khz mpk 20khz
Hvyo wewe haupend TREBLE iwe juu unapunguza kidogo mpk kwenye 10khz au 12khz hivi Ili kupata balance nzuri kwenye BASS

 
Umefafanua vyema sana.

Jamaa alitaka kumaanisha treble/ high frequency
Aka mchicha
 
Mkuu mzimu naona umeongea kiproffesional hapa, tunashukuru kwa highlight.
 
Nashukuru mkuu, sikutaka kutumia kiingereza cha ndani ndani sana. Nayaelewa vizuri uliyoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…