Mkuu stereo ni kuchagua sauti eidha itoke kwenye Spika kwa kupokezana kwa maudhui tofauti
Mfn spika zipo kushoto na kulia basi ukiweka stereo kam hiyo audio inasuporty STREO MODE
utapata ladha ya ile surround sikio moja anaimba msanii sikio jingine unasikia beat
AU Hata movie ipo hvyhvyo pia unaweza kusikia wanajibishana huyo anaongea kwa spika ya left huyu spika ya right kama mapigano kinavunjika kitu kioo nk unasikia kinavunjika kwenye spika ya kushoto kulia unasikia sauti nyingine
Mono sauti zinatoka pamoja kwenye spika zote kwa pamoja haina LEFT RIGHT
OKAY
STREO haiusiani na TREBLE mid au BASS
Hvyo wewe unaEDIT graphics equalizer
ili kupata BASS nzuri ambayo haina TREBLE
TREBLE ni HIGH PINCH ama unaweza sema HIGH FREQUENCY ambayo inaanzia kwenye 6khz mpk 20khz
Hvyo wewe haupend TREBLE iwe juu unapunguza kidogo mpk kwenye 10khz au 12khz hivi Ili kupata balance nzuri kwenye BASS
View attachment 2613436