Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba ndo bei zake tena na hapo kalialia sana ndo kauziwa hiyo bei. Tatizo sisi wabongo tuna ujuaji mwingi kwenye kitu hatuna uzoefu nacho, hizo Oraimo free pod 3 a.k.a 2baba's voice nilishazitest ni balaa aisee halafu ni waterproof. Ninaongelea uzoefu kwasababu hata Airpods Pro nimeshazitumia pia. Earphone ya waya ya elfu 5 😳 na genuine wireless earphone ni way too far aisee! That's not a fair comparison.Eeh kweli, kwa hio pesa huwezi nunua kitu kibovu. Ina maana hao wanaijeria ndo wanauza vitu ghali kiasi hicho. Kama za waya wanauza buku 5 jumla na zina bass sidhani kama hio earpods ni ghali hivyo.
Zinaonekana za kibabe sana 😀Mzee baba ndo bei zake tena na hapo kalialia sana ndo kauziwa hiyo bei. Tatizo sisi wabongo tuna ujuaji mwingi kwenye kitu hatuna uzoefu nacho, hizo Oraimo free pod 3 a.k.a 2baba's voice nilishazitest ni balaa aisee. Ninaongelea uzoefu kwasababu hata Airpods Pro nimeshazitumia pia. Earphone ya waya ya elfu 5 😳 na genuine wireless earphone ni way too far aisee! That's not a fair comparison.
Kana muonekano gani, whats the model number? Na je, kanatunza moto?
Zinaonekana za kibabe sana 😀
ngoja akajaribu kwanza mkuu, atakuja kufuta hiyo comment.Mzee baba ndo bei zake tena na hapo kalialia sana ndo kauziwa hiyo bei. Tatizo sisi wabongo tuna ujuaji mwingi kwenye kitu hatuna uzoefu nacho, hizo Oraimo free pod 3 a.k.a 2baba's voice nilishazitest ni balaa aisee halafu ni waterproof. Ninaongelea uzoefu kwasababu hata Airpods Pro nimeshazitumia pia. Earphone ya waya ya elfu 5 😳 na genuine wireless earphone ni way too far aisee! That's not a fair comparison.
Wewe ni mnazi wa vitu vya kichina, siku hizi tunafanya mambo kupunguza mzigo mkuu, sasa hiyo accessory inafanya simu iwe kama imevalishwa mask si mzigo mwingine huo mkuu.Kwenye earpods huko maybe Apple yupo vizuri
Lakini kama unaongelea general music accessories kwa ajili ya smartphones Mimi naona Mchina amefika mbali zaidi
Simu ya "Asus ROG Phone 7 Ultimate" inakuja na cooling accessory kwenye boksi la simu. Hii cooler inasaidia kushusha joto la simu hadi 25°C. Accessory yenyewe ni hii hapa kwenye pichaView attachment 2613149
Lakini hii accessory ina function nyingine pia, Simu yenyewe ina speaker mbili na accessory hii inaweza kutumika kama speaker ya tatu ambayo ipo designed special for bass. Haimaanishi kuwa inatoa bass tu lakini pia inatoa sauti ya mziki katika very high intensity. Quality ya sauti yake ni kubwa kuliko speaker za traditional phone yoyote ile. Bass inayotolewa na accessory hii unaweza kufeel kabisa vibration yake.
Just imagine, sauti ya mziki kwenye simu ina bass ambayo unaweza kufeel kabisa ule mtetemo wake.
Wakati Mr Whosetheboss anacompare sauti ya speaker za iPhone 14 Pro Max na Asus ROG Phone 7 Ultimate ikiwa imefunganishwa na hii accessory sauti ya iPhone ilikuwa inaonekana ya kichumba sanaView attachment 2613158
Acheni Mchina aitwe Mchina
Mi ninayo, amazing sana kadogo mno halafu kana sauti ya kuwakimbiza majirani kwa mwenyekiti kushtaki.Bluetooth speaker yao unayo? 😀 ywf
Hizo hata kwenye second copy hazipo jombaa.Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Hapana sio mzigo, kwanza hiyo device ni nyepesi sio nzito pia inaweza ku-act kama stand ya simuWewe ni mnazi wa vitu vya kichina, siku hizi tunafanya mambo kupunguza mzigo mkuu, sasa hiyo accessory inafanya simu iwe kama imevalishwa mask si mzigo mwingine huo mkuu.
Tumia tidal spotify ina muziki mwepesiSasa hapo tumia apple music au spotify kustream ukikonekti na hzo pods via blutusi, uje unishukuru bdae.
Ahaa kumbe inawafaa zaidi watu wa games hapo sawa mkuu.Hapana sio mzigo, kwanza hiyo device ni nyepesi sio nzito pia inaweza ku-act kama stand ya simu
Asus ROG Phone 7 Ultimate ni gaming smartphone hivyo hiyo device inasaidia ku-cool temperature wakati wa gaming. Kama umeifuatilia vizuri ina feni ndani yake ambayo inazunguka muda wote ili ku-cool temperature.
Kama huyu jamaa anavyocheza game, hiyo device haimletei shida yoyote Kwa sababu ni nyepesi na inakaa nyuma ya simu. View attachment 2613242
Hata ukiwa unaangalia movies hiyo accessory unaiweka nyuma ya simu na ukiwa unaendelea kutumia simu hadi unasahau kuhusu uwepo wa hiyo accessory kwa sababu ya uzito wake mdogo. Bado ni useful na ninaamini inatoa best user experience kuliko Apple earpods kwa sababu ina sauti bora sana
Lastly, napenda Chinese products Kwa sababu wachina wapo creative sana
MhhhhHii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Mmh sawa sawa mkuu, kariakoo kubwaHizo hara kwenye second copy hazipo jombaa.
Nimewahi kumoa dogo auze hizo dude akawa anaenda kuchukua karikakoo yaani ambayo alikuwa anauziwa jumla kwa 10kl huwezi amini ni zaidi ya hiyo.
Wauzaji wao wanafaham na ukiwa nao vizuri wanakuoa mzigo mzuri.
Inawafaa music fans piaAhaa kumbe inawafaa zaidi watu wa games hapo sawa mkuu.
Daah [emoji23] [emoji23] sisi tusiokuwa na pesa kazi yetu ni kusoma tu mana ukiwazingatia sana watakupa mawazoMkuu kwa hii picha nimeshakubali hata kabla sijatumia, mbona ziko tofauti kabisa?.
But, nje ya mada hivi nyie watu huku JF mnatoa wapi hela mbona ni mimi tu ndo sina gari, sijawahi kutoka nje ya nchi, sina hela, sijawahi kupanda ndege?.
Yaani wenzangu nawakuta mnaulizia namna ya kulipa faini, sijui ramani nzuri kwaajili ya ujenzi, tuseme mimi nakosea wapi wakuu, au sina exposure?.
Yaani unaweza kujitundika mkuu.Daah [emoji23] [emoji23] sisi tusiokuwa na pesa kazi yetu ni kusoma tu mana ukiwazingatia sana watakupa mawazo
Unamaanisha hupendi high bila shakaInner ear Bass yake ni nzuri iko balanced na stereo. Mdundo mkubw na mchicha mwingi sema mi huwa sipendagi stereo huwa naiedit kidogo.
Zile generation ya kwanza zenye tobo ndio sizipendagi.