Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Sijui muziki ila design haijakaa kinyakyusa kabisa. Ni kama earbuds za Google (Pixel Earbuds) sijapenda.
Sasa hio kwa FBI, CIA, na elites group kubwa ndo wanapenda sasa,

Mwenyewe mara ya kwanza niliijulia kwenye movie, hizi za apple hao wanaiba hata data zenu, wanajua mnasikiliza nn, mnaongea sana nn kwenye simu, then wanaku-serve ads kutokana na ulivo. Au kama ni figure kubwa wanaziuza kwa wadau wao.

Khs design huwezi weka design moja ikafit the whole 7 bilion people, Nura is for elites I repeat
 
Yaani mkuu inaonekana kuna vitu vizuri sana shida ni hela hatuna, hizo $550 zina nini cha mno?.
Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
Screenshot_20230507-182000.png

Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..

images.jpeg

Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
Screenshot_20230507-182112.png

Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert

Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
 
Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544

Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..

View attachment 2613545

Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547

Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert

Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Hahaha umenifurahisha mkuu, sasa wenyewe wakija watakwambia biashara ya kimaskini sana hiyo tafuta hela utaacha kuwaza mambo ya pikipiki, tupambane na kilimo mkuu wangu labda tutatoboa.
 
Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544

Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..

View attachment 2613545

Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547

Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert

Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Naomba contact za hao jamaa nahitaji chombo moja hapo....earpods tuwaachie elites 🙄🙄🙄🙄
 
Hahaha bro anazingua sana. Akija jaribu siku izo Original za Apple ataomba Melo aweke pin 📌 bandiko lake.

Apple wapuuzi wana earphones 🎧 zao moja aanauza $550 hivi aisee (Airpod Max). Haya maisha aya.
Huwa namtafuta mganga anaetumiwa na apple kuwaroga wateja wake, bado sijampata ila nasikia yuko kule kongo migodini ndanindani wanapochimba lithium.

Mfano nura kwa sasa ni usd 199 tu nadhan, ofcoz kwa mtu average ni kubwa ila ukiunganisha raha, kuondoa usumbufu, durability, namna inavyofit sikioni ni ngumu kuanguka, na ile sound adaptation yao wanayotumia (AI based) unaona kabisa hio product angeuza apple tungeongelea usd 600
 
Ngoja niwatafute hao Nura.

Apple wanasema gharama kubwa kwneye R&D (research and development) sio material na assembling. 🤣🤣

Vijana wao die hard fans National Anthem uwaambii kitu kwenye bidhaa zao.
 
Bongo raha sana yan kitu cha ten unakula music wa maana while kuna mwana kachukua hii kitu kwa €138 kama jiwe Tzs na haina maajabu sana 😂View attachment 2613554
Kati ya brands za sauti ninazochukia ni JBL, hawa hata spika zao ni makelele tu, hamna kitu humo mkuu, labda itakua hujui taste ya clean & clear sound
 
Ngoja niwatafute hao Nura.

Apple wanasema gharama kubwa kwneye R&D (research and development) sio material na assembling. 🤣🤣

Vijana wao die hard fans National Anthem uwaambii kitu kwenye bidhaa zao.
Ni sawa apple inasemekana anainvest sana kwenye R&D lkn mbona kuna features kibao tunaziona kwa android miaka kadhanaa nao ndo wanakuja kufanya. Haya subiri foldable yao ya kwanza watatoa lini.

Unajua data kama cost za R&D zinaweza kupikwa tu, watu wanacheza na balance sheets zao kudanganya umma, hizi public company sio za kuamini sana mkuu
 
Oraimo nimejaribu za waya jana zinagonga vizuri sema tu sababu ni Oraimo na sikutaka za waya. Nataka za Bluetooth. Huwa wanauzaje Pods zake?
Oraimo ndio mwisho wa matatizo.

Mie ninazo za waya na wireless.

Za waya zinauzwa 3500... Tuuuu

Nimenunua package 10 nimeziweka kwenye Bag maana najua nikirud tena dukan nawez nisizikute au nikakuta PHAMBALIOTICK product.

Oraimo yupo vizuri kuliko AKG na hizo taka taka za Apple.
 
Hahahahahah hutaki maskharaaa shee, yani unyama mwingiii. Za wireless niaje?
 
Back
Top Bottom