Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Abee…
Sijawaelewa 🙆♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abee…
Mkuu hizo ni nzuri sana zinaelekea kuwa earpods bora duniani, mkuu Teslarati alizipost huko juu ziko vizuri sana.Sijui muziki ila design haijakaa kinyakyusa kabisa. Ni kama earbuds za Google (Pixel Earbuds) sijapenda.
Sasa hio kwa FBI, CIA, na elites group kubwa ndo wanapenda sasa,Sijui muziki ila design haijakaa kinyakyusa kabisa. Ni kama earbuds za Google (Pixel Earbuds) sijapenda.
Basi tuishie hapoAbee…
Sijawaelewa 🙆♀️
Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..Yaani mkuu inaonekana kuna vitu vizuri sana shida ni hela hatuna, hizo $550 zina nini cha mno?.
Hahaha umenifurahisha mkuu, sasa wenyewe wakija watakwambia biashara ya kimaskini sana hiyo tafuta hela utaacha kuwaza mambo ya pikipiki, tupambane na kilimo mkuu wangu labda tutatoboa.Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544
Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..
View attachment 2613545
Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547
Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert
Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Naomba contact za hao jamaa nahitaji chombo moja hapo....earpods tuwaachie elites 🙄🙄🙄🙄Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544
Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..
View attachment 2613545
Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547
Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert
Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Ndio na kupunguza hicho unachosema sio kutoa stereo ,, stereo iko pale pale Ni wewe una set equalizer yako unavotakaMzee Stereo ni audio channels Left and Right. Mziki unapotayarishwa unapangwa kwenye hizo channels.
Huwa namtafuta mganga anaetumiwa na apple kuwaroga wateja wake, bado sijampata ila nasikia yuko kule kongo migodini ndanindani wanapochimba lithium.Hahaha bro anazingua sana. Akija jaribu siku izo Original za Apple ataomba Melo aweke pin 📌 bandiko lake.
Apple wapuuzi wana earphones 🎧 zao moja aanauza $550 hivi aisee (Airpod Max). Haya maisha aya.
Bongo raha sana yan kitu cha ten unakula music wa maana while kuna mwana kachukua hii kitu kwa €138 kama jiwe Tzs na haina maajabu sana 😂Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Presence of mind...... 100%Ni EarPods
Ngoja niwatafute hao Nura.Huwa namtafuta mganga anaetumiwa na apple kuwaroga wateja wake, bado sijampata ila nasikia yuko kule kongo migodini ndanindani wanapochimba lithium.
Mfano nura kwa sasa ni usd 199 tu nadhan, ofcoz kwa mtu average ni kubwa ila ukiunganisha raha, kuondoa usumbufu, durability, namna inavyofit sikioni ni ngumu kuanguka, na ile sound adaptation yao wanayotumia (AI based) unaona kabisa hio product angeuza apple tungeongelea usd 600
Kati ya brands za sauti ninazochukia ni JBL, hawa hata spika zao ni makelele tu, hamna kitu humo mkuu, labda itakua hujui taste ya clean & clear soundBongo raha sana yan kitu cha ten unakula music wa maana while kuna mwana kachukua hii kitu kwa €138 kama jiwe Tzs na haina maajabu sana 😂View attachment 2613554
Ni sawa apple inasemekana anainvest sana kwenye R&D lkn mbona kuna features kibao tunaziona kwa android miaka kadhanaa nao ndo wanakuja kufanya. Haya subiri foldable yao ya kwanza watatoa lini.Ngoja niwatafute hao Nura.
Apple wanasema gharama kubwa kwneye R&D (research and development) sio material na assembling. 🤣🤣
Vijana wao die hard fans National Anthem uwaambii kitu kwenye bidhaa zao.
Oraimo ndio mwisho wa matatizo.Oraimo nimejaribu za waya jana zinagonga vizuri sema tu sababu ni Oraimo na sikutaka za waya. Nataka za Bluetooth. Huwa wanauzaje Pods zake?
Hahahahahah hutaki maskharaaa shee, yani unyama mwingiii. Za wireless niaje?Oraimo ndio mwisho wa matatizo.
Mie ninazo za waya na wireless.
Za waya zinauzwa 3500... Tuuuu
Nimenunua package 10 nimeziweka kwenye Bag maana najua nikirud tena dukan nawez nisizikute au nikakuta PHAMBALIOTICK product.
Oraimo yupo vizuri kuliko AKG na hizo taka taka za Apple.