Na cash ya kijana wangu Elon musk ni ngapi ?Kwa innovation kweli wako behind, ila pesa wanayo. June walisema wana $50B in cash (yaani reserve)!
Kijana, nimeulizia individual sio company zao wazo own. Mambo vipi lakini ?$37-40B Tesla
$95B Google
$56B NVIDIA
$65B Alibaba
Jeff wa Amazon uwasemi.
Dah sio poa aisee.Kwenye EV's wachina wamekaba Kona zote.
Mchina anatengeneza magari ya bei rahisi Sana yenye feature sawa na Tesla na wengine.
madini ya kutengeneza EVs battery Aina ya graphite yanazalishwa ndani ya china pia na madini mengine ya colbat wanaiba kutoka Congo ndiyo maana inakuwa rahisi Kwa mchina kufanya vyema kwenye industry ya magari ya UMEME .
Mwezi uliopita mkurugenzi mtendaji wa mercedes amependekeza makampuni yote ya magari ndani ya ulaya waachane na ishu za kuzuia magari ya ICE pia juzi boss mwingine wa BMW nae ametoa onto Kwa nchi za ulaya kuacha wazo la kusitisha magari ya UMEME ifikapo 2035.
Game limekataa mno Kwa wazungu na magari Yao ya UMEME
TZ kuna Cobalt na Graphite, lakini hatutaona faida yake.madini ya kutengeneza EVs battery Aina ya graphite yanazalishwa ndani ya china pia na madini mengine ya colbat wanaiba kutoka Congo ndiyo maana inakuwa rahisi Kwa mchina kufanya vyema kwenye industry ya magari ya UMEME .
Yes IPO ya kutosha hata kwenye list ya hazina kubwa ya hayo madini tupoTZ kuna Cobalt na Graphite, lakini hatutaona faida yake.
Jamaa wapo vizuri sana.. Kuna Honda vezel ya 2025 inanishawishi kuvunja kibubuKwenye EV's wachina wamekaba Kona zote.
Mchina anatengeneza magari ya bei rahisi Sana yenye feature sawa na Tesla na wengine.
madini ya kutengeneza EVs battery Aina ya graphite yanazalishwa ndani ya china pia na madini mengine ya colbat wanaiba kutoka Congo ndiyo maana inakuwa rahisi Kwa mchina kufanya vyema kwenye industry ya magari ya UMEME .
Mwezi uliopita mkurugenzi mtendaji wa mercedes amependekeza makampuni yote ya magari ndani ya ulaya waachane na ishu za kuzuia magari ya ICE pia juzi boss mwingine wa BMW nae ametoa onto Kwa nchi za ulaya kuacha wazo la kusitisha magari ya UMEME ifikapo 2035.
Game limekataa mno Kwa wazungu na magari Yao ya UMEME
JapaneseJamaa wapo vizuri sana.. Kuna Honda vezel ya 2025 inanishawishi kuvunja kibubu