Apple walitumia zaidi ya Trillion 25 kwenye Project Titan na ikafeli bila kutengeneza ata gari moja la kuzugia!

Kusema China anawaibia Congo ni kutafuta ugomvi na mchina wa Tunduru Xi Jinping
 
Kwenye kila project 100 zinazowekwa mezani au kufanyiwa kazi unadhani ngapi huwa zina pan out ? Na hii ni Industrial-wise na worldwide...

"I never lose. I either win or learn". - Thomas Edison.
 
Wakati Mchina miaka 20 iliyopita anatia kibunda cha ruzuku na wataalamu kufanya R&D kwenye EV walimwona mjinga

Sasa hivi anawakimbiza kwenye EV, EV batteries tech na self driving

Hizi mbanga za chuma za umeme wamwachie Mchina ana dunia yake wao wakomae na internal combustion engine
​
 
Waangaike na internal combustion engine. Umenikumbisha physics mtaalamu. Kitambo sana
 
Hizi JAECOO ndio habari ya UK sasa hivi.....

Sema hizi J7 ni PHEV, hafu UK wanampiga pini Mchina balaa.

Mfano, hiyo J7 ikiwa China inauzwa $18,000 tu. Hafu ikiwa UK inauzwa $44,000 kudadeq.

Wenyewe wanaiita Range Rover from China
Mchina yeye alikuwa anataka aingie kwenye soko, na kwa kweli gari za kichina zimepokelewa vizuri sana UK
Sasa hivi BYD ana showroom kila wilaya, na sasa JAECOO ndio ameaanza,
huko, UK watu Tesla wamezisusa....
 
Mchawi reliability. Ngoja tuone 5-10 years zijazo zitakuaje.
Maana sisi wazee wa used kununua safely sahivi ni Leaf tu.
BF cheap Tesla Model 3 naiona kwa $18,000 CIF ushuru TRA wanataka 24 Mil+

This Model S ndio my fav Tesla.
 
Mchina yeye alikuwa anataka aingie kwenye soko, na kwa kweli gari za kichina zimepokelewa vizuri sana UK
Sasa hivi BYD ana showroom kila wilaya, na sasa JAECOO ndio ameaanza,
huko, UK watu Tesla wamezisusa....
Mchina kaanza kupokelewa vizuri sana hapo Ulaya. Mauzo ya BYD yanapanda kwa kasi sana kuliko Tesla

Kuna brands za China kama MG zinafanya vizuri nchini Uingereza
​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…