Application Users Vs Browser Users

Napenda kutumia ya browser maana kwaupande mwingine ninasave storage ya simu kutumika bila sababu, hata instagram nayo naingilia kwenye browser.
 
Hahah! Siku hiyo Mwakalebela alitrend sana hata wenyewe waliita ile siku ni Mwakalebela day πŸ˜€

Nakumbuka, kilichoniboa ni vile hadi kipindi cha jioni waliendelea vile vile.

Nikaona ni kwa sababu sasa hivi taarifa ziko chache.
 
Ee kumbe hata picha azifunguki huko kwenye app, Next Man ya kweli haya
Sio kweli zinafunguka bhana Mkuu
Mbona Mnaanza-kuexaggurate Mambo
Huku Notifications tuu ndio shida [emoji28]

Tufanye Kila mtu Ashinde Mechi Zake bwanaa [emoji2]

Narudia i like complexity ila sio katika vitu visivyo nijenga
 
Sio kweli zinafunguka bhana Mkuu
Mbona Mnaanza-kuexaggurate Mambo
Huku Notifications tuu ndio shida [emoji28]

Tufanye Kila mtu Ashinde Mechi Zake bwanaa [emoji2]

Narudia i like complexity ila sio katika vitu visivyo nijenga
Ok kumbe mdau wa App katudanganya.
Ahsante kwa feedback
 
Imeanza kurudi kwa kupata notification,nadhani baada ya muda picha pia zitaanza kufunguka [emoji847]
Ok kumbe mdau wa App katudanganya.
Ahsante kwa feedback

Nadhani wengi Sijui hawajui hii App iko updated, Waa-update App zao everything is good Mkuu Notifications tuu. [emoji2][emoji2][emoji2]

Niliandika tuu ni namna gani navyoona App is the best kuliko Browser
Kama Unatumia Browser tumia kama unatumia App tumia wala hakuna kesi Wazee [emoji106]

Maana Naona watu tunaanza kuchambana Sasa humu Hahahahh
 
Wala Usijali mkuu wote ni watumiaji wa jamiiForum. Na kila mtu anapata kile anachotaka.
Hii mada nafkiri ipo kwa ajili ya kutuchallenge tu na kutaniana kidogo.
 
Zilipotelea humo humo?
YaaniπŸ˜‚πŸ˜‚
Nimezipata WhatsApp video nilizowahi kutumia watu mwaka juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nikiingilia app ntakuonesha picha..now natumia librowser lenuπŸ˜–
 
YaaniπŸ˜‚πŸ˜‚
Nimezipata WhatsApp video nilizowahi kutumia watu mwaka juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nikiingilia app ntakuonesha picha..now natumia librowser lenuπŸ˜–
Jamani amkeni amkeni amkeni πŸ“£πŸ“£πŸ“£

Mtu anatumia Browser huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…