Application Users Vs Browser Users

App ni ya kiduanzi kweli yaani, kwangu haifunguki wala nn, natumia browsers flank hivi ipo kama computer, naweza kudownload huku naperuzi internet huku naanalia video YouTube
 
Yah! Naona mazoea huwa yanatawala zaidi hapa maana unakuta mtu analalamika hapati notifications miezi miwili ila bado yupo tu na App yake 😀
 
Yah! Naona mazoea huwa yanatawala zaidi hapa maana unakuta mtu analalamika hapati notifications miezi miwili ila bado yupo tu na App yake [emoji3]
Mimi nina mwaka sasa sipati notification ila ndio siachi app. Browser inanitia uvivu sana....nakumbuka nilipojiunga Jf sikuwa hata naingia mara nyingi, sikumoja nimeingia play store mara paap nikaona app ya Jf, nilifurahi sana na ndio hapo nikaanza kuwa active
 
Changamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .

Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kw mujibu wa max app itakuwa poa sana 1may watakapoachia update kwa sasa tutumie browser
 
Mimi app pekee ambayo ninaweza kutumia ni whatsapp na instagram tu, jamiiforums, facebook, twitter natumia browser. App huwa naona zinaniyeyusha.
 
Ndio maana mara nyingi tukikutag unakuwa huna habari kumbe umekomaa na App yako, shauri yako mambo mazuri yanakupita 😀
 
Mimi natumia "Browser" sababu wake zangu hawapendi kabisa niwe katika hii mitandao ya kijamii zaidi ya "WhatsApp".

Ahsante.
 
Sweeettie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…