Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kumbe!Ana mwaka na miezi mitatu na siku tisa sasa.
Not ID just username tu akaunti ile posts zangu na kumbukumbu zangu zote zipo.Mmh umebadili ID?
Ndio hivyo.
Mimi na App damu damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana.
Wewe mzee wa π€£π€£ hayo mambo ya App umeyajulia wapi au unatumia vyote viwili?Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.
Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
Ooh sawa, isingekuwa avatar hiyo ningekupoteaNot ID just username tu akaunti ile posts zangu na kumbukumbu zangu zote zipo.
Aya ya tatu[emoji23][emoji23]Application Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)
Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF [emoji35][emoji35] ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history [emoji16])
Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)
Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka [emoji38][emoji38]
Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu [emoji7]
So far unaweza kusubscribe forum you want
Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa [emoji38] huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are [emoji38][emoji38][emoji38] ni vitu vizuri lakini Vina kera
Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]
Daaaah! Poa nakuja PMOoh sawa, isingekuwa avatar hiyo ningekupotea
Umeeleza vizuri sana, umeandika mambo mengi ambayo mimi nilikuwa naona uvivu kuyaandika, safi sana bwana mdogoApplication Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)
Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF [emoji35][emoji35] ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history [emoji16])
Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)
Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka [emoji38][emoji38]
Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu [emoji7]
So far unaweza kusubscribe forum you want
Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa [emoji38] huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are [emoji38][emoji38][emoji38] ni vitu vizuri lakini Vina kera
Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]
πππBrowser tumewaachia maandaeitini kina king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u more dear[emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye app unaona umbea mwingi.Browser Users hakunaga hicho kitu.Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.
Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
Aya ya pili toka mwishoApplication Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)
Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF [emoji35][emoji35] ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history [emoji16])
Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)
Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka [emoji38][emoji38]
Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu [emoji7]
So far unaweza kusubscribe forum you want
Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa [emoji38] huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are [emoji38][emoji38][emoji38] ni vitu vizuri lakini Vina kera
Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]
Amemaliza Kila kituUmeeleza vizuri sana, umeandika mambo mengi ambayo mimi nilikuwa naona uvivu kuyaandika, safi sana bwana mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Bad girl nakujua wewe [emoji3][emoji3]