Application Users Vs Browser Users

Ila raha ya Browser Users uwe unatumia computer version.
 
Sisi tunataka kujua mkiwa huko huko kwenye App mtu akidislike huwa inakuwa like?
Hapana, hatuoni chochote sie tunaona like tu, labda hiyo app mpya Itakuwa na features hizo zingine, na ikija na hizo features wazee wa browser mtaambia nini watu[emoji23][emoji23]
 

Mimi natumia browser, ila nikitaka kupitia profile ya mtu ndo nafungua App ili niweze kuona threads alizoanzisha ninayemtafuta.
 
😂😂😂😂😂😂 Daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…