Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 631
Napenda kutumia ya browser maana kwaupande mwingine ninasave storage ya simu kutumika bila sababu, hata instagram nayo naingilia kwenye browser.Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?
Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...
Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...
COVID 19 ipo tujikinge kwa kufuata ushauri tunaopewa na wataalamu