Tatizo mtoto hajifunzi,yeye anachukua kila kitu anachokiona na kukisikia na kuhifadhi katika akili yake then baadae hivyo alivyovihifadhi ataanza kuvitumia pale atakapokuwa ameanza kuwa na uwezo wa kufanya mambo hayo.Simu , tv si nzuri kwa watoto kwa sababu hazina program mtiririko. Tv ni Mwalimu asiye na syllabus. Yaani ufundisha mtoto chochote tu bila mpangilio
Ndio kabisa. Mtoto anahitaji miongozo thabiti kutoka kwa wazazi na walezi kwa kuwa yeye hajui bado kipi ni kizuri au kipi hakina manufaa kwake.Tatizo mtoto hajifunzi,yeye anachukua kila kitu anachokiona na kukisikia na kuhifadhi katika akili yake then baadae hivyo alivyovihifadhi ataanza kuvitumia pale atakapokuwa ameanza kuwa na uwezo wa kufanya mambo hayo.
Kufananisha simu na kalamu si sahihi. Hata kalamu ina umri wake wakuanza matumizi.Ni sahihi,
Ni sawa na kalamu tu zamani
Ni sahihi. Mzazi lazima amsimamie mtoto wake mtandaoni. Lakini kuna hatari nyingine ya mtoto kutumia simu na mitandao bila mpangilio, ikiwemo kutokuwa na nidhamu au kukosa umakini kwa vitu vinavyohitaji umakini mkubwa hasa huko mbeleni.Mtoto wangu ameanza kujua 1 hadi 100 akiwa na miaka 3 kupitia simu ....mtoto hawezi kuingia sehemu sio sahihi kama hujamwonyesha
Endelea kumpa mwanao makaratasi na pen tu uone jinsi atakvyoachwa,Kufananisha simu na kalamu si sahihi. Hata kalamu ina umri wake wakuanza matumizi.
Hongera yake. Je imemsaidiaje mpaka sasa mbali na kuweza kutumia kompyuta?Endelea kumpa mwanao makaratasi na pen tu uone jinsi atakvyoachwa,
Dunia ya sasa ni mitandao kwenda mbele,
Wa kwangu alipozaliwa tu siku ya kwanza tu nilimshikisha simu
Saaa hivi ana miaka tano anacheza na kompyuta kama hana akili vizuri
Atafanya mengi ambayo wa makaratasi yatawashinda,Hongera yake. Je imemsaidiaje mpaka sasa mbali na kuweza kutumia kompyuta?
Kwahiyo mtoto wako anajua kufanya yote hayo?Atafanya mengi ambayo wa makaratasi yatawashinda,
Juzi juzj tu pale airport nilutakiwa kujaza form flani online kupitia kwenye simu tu nilishindwa mie najua kupokea na kupiga tu ikizidi kutuma whatsapp, baadae ikibidi nilipie 20,000 kujaziwa na mtu internet cafe
Kitendo cha dakika mbili
Haya ni maneno ya wazazi wasiotaka kulea watoto wao. Mtoto umleyavyo ndivyo akuavyo.Inategemea
Mtoto kuharibika ni juhudi zake binafsi
Mbona watu tumekulia Manzese mzazi mlevi wa gongo simu unamiliki uko lasaba
Na tumeenda mpka university
Ni kweli mkuu. Watu wanazaa watoto, hawawatunzi, alafu wanakuja kuwa mzigo kwa taifa hapo baadae.Mkishindwa kufuata muongozo wa mtoa mada tumieni kondomu muepushe nchi na majanga hapo baadae.
Safi sana,nilikua siijui hii, kijana wangu ana miaka miwili anapenda sana katuni, hii itamfaa
Ndio mkuu itamfaa sana. Watoto wanapenda vitu vyenye rangi za kuvutia na hii app itamsaidia aanze kujifunza kusoma kuandika na kuhesabu.Safi sana,nilikua siijui hii, kijana wangu ana miaka miwili anapenda sana katuni, hii itamfaa