safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Tatizo mtoto hajifunzi,yeye anachukua kila kitu anachokiona na kukisikia na kuhifadhi katika akili yake then baadae hivyo alivyovihifadhi ataanza kuvitumia pale atakapokuwa ameanza kuwa na uwezo wa kufanya mambo hayo.Simu , tv si nzuri kwa watoto kwa sababu hazina program mtiririko. Tv ni Mwalimu asiye na syllabus. Yaani ufundisha mtoto chochote tu bila mpangilio