Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Levels.Hizi za mswaki wa shilingi laki mbili? Huku nna mswaki wangu wa buku tena wenyewe naona ndio bei ghali
Mimi hata nisipotaka kununua huo nitapewa hata zawadi.
Levels.Hizi za mswaki wa shilingi laki mbili? Huku nna mswaki wangu wa buku tena wenyewe naona ndio bei ghali
Kikubwa kinywa kisafishike mkuu😃😃😀😀😀Mswaki haufiki hata dollar moja anko 😃 😃
Zawadi ya mswaki kwa huku uswazi kwetu ukimpa mtu atatafsiri tofauti kabisa.Levels.
Mimi hata nisipotaka kununua huo nitapewa hata zawadi.
Huyo anatuchora tu humu ako na pesa nyingi sana huyo jamaa.Hivi bado Intelligent businessman ni jobless? Mbona anaonekana take home yake no six digits😀
Wabongo wengi watu wa kujistukia nakuelewa.Zawadi ya mswaki kwa huku uswazi kwetu ukimpa mtu atatafsiri tofauti kabisa.
Sio kwa hizi loan app za uchochoroni, hawa wanachoweza kufanya ni kukuchafulia tu kwenye contact ulizosave kwenye simu.Utapigwa blacklist moja matata sana, siku unaenda Bank unataka mkopo unashangaa wanakuambia wewe sio mlipa madeni, unadaiwa sehemu xxxx na hujalipa.
Tatizo haliji mara moja, siku utakwama tena, ukienda kukopa unaambiwa mambo hukutegemea. Lipa mkopo uwe huru.
Cash X, pesa X, credi voria, mkopo pesaNi app ipi wanakopesha kuanzia 50? Nitajieni nikakope huko
Nakuwa tapeli mpya mjiniNenda mahali wkend hii agiza choma na kinywaji baridi... jipongeze, ikiwezekana na mtoto mzuri pembeni
Watu wema walishakufaga ..... Dunia haina wema kabisa !
Benki itakuwa shida kama nitahitaji kukopa lakini huduma za kawaida sijaona usumbufu wowote mpaka sasa. Na isitoshe NMB wananitumia sms kibao nikope hela😛Labda kama unasema uchague kulipa sasa au baadae,
Ila kulipa ni lazima labda usihitaji huduma za kibenki au uwe umekufa. Hapo inayodaiwa ni namba yako ya nida sio line ya simu
Hapo utakuwa umeanzisha vita baridi.Wabongo wengi watu wa kujistukia nakuelewa.
Kaka hata 200k parefu sana, infact nachezea 60k before tax.Kibongo bongo 200K ni mshahara wa Intelligent businessman pale lindoni kwake. 120K mshahara wa dada wa usafi nabado unakatwa.
6 digits what?, kaka acha kuni tafutia sababu ya kutengwa na majobless wenzangu.Hivi bado Intelligent businessman ni jobless? Mbona anaonekana take home yake no six digits😀
Hamna bro mi naonaga kawaida tu, uki bahatika kuingia milango au korido tofauti utaona kuna watu wana ishi na ku make it.Kuna wakati ukisoma contents za hawa jamaa inabidi ucheke tu. Sio.kwa kujikweza huku!!
60K?Kaka hata 200k parefu sana, infact nachezea 60k before tax.
Kuna muda napiga ukunga uwii, maana waki kata madenu. Bado nadaiwa madeni.
Sawa mkuu, nimeelewa sema sisi wa mavumbini hatuelewi ujue.😀Hamna bro mi naonaga kawaida tu, uki bahatika kuingia milango au korido tofauti utaona kuna watu wana ishi na ku make it.
Kuna siku Kiranga alikuwa ana nunua juice machine, akaniuliza ipi nzuri.
Bro ile machine ni kama 1.7 ka sio m2 za kibongo 🤣😂.
Elfu 60 bro, hata simu yangu ni tekno 734 ina opera mini.60K?