Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

Taarifa zako zipo CRB wewe chekacheka humu ipo siku utakuja unalia machozi ambayo hatutakusiadia.
Sasa mimi nifanye nini na muamala umezuiwa mara tatu na mizimu ya mababu?, halafu nimeenda kuombewa pepo la kukopa linitokešŸ˜›, hivyo sina mpango wa kwenda benki yoyote. Nitajiwekea kibubušŸ˜†
 
Sawa mkuu, nimeelewa sema sisi wa mavumbini hatuelewi ujue.šŸ˜€
Kuna binti huwa ni mwanangu sema sio kivile, anakuja kuchangia chama Cha ma jobless Sana.

KInakula 8m kudadadeki,bro kwa elfu 60 yangu hata lunch yake haitoshi kabisa .

Kuna siku kakomaa nika zurure naye, nika muambia una taka nipate msongo wa mawazo ehh šŸ˜‚šŸ¤£
 
Nimejaribu kuwalipa Sh 202500 kwa leo ili kesho nimalizie Sh 67500 mara tatu lakini mtandao umenirudishia muamala kama inavyoonekana kwenye attachment. Kifuatacho ni vumbi la kiangazi🤣🤣, siwezi kukataa zawadi kutoka kwa mizimu.
Mizimu na mababu mkuu wamekataa wamecancel 🤣😁
 
Labda kama unasema uchague kulipa sasa au baadae,
Ila kulipa ni lazima labda usihitaji huduma za kibenki au uwe umekufa. Hapo inayodaiwa ni namba yako ya nida sio line ya simu
Hivi vimkopo binafsi vya app uchwara za mtandaoni ukiomba statement creditinfo unakuta madeni unayodaiwa kwao hayajaorodheshwa.
 
Back
Top Bottom