Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

Walipe tu mkuu Moyo utakuwa na Amani sana roho itatulia nao Wana familia zao zinategemea kutoka kwenye kazi
 
Sio kwa hizi loan app za uchochoroni, hawa wanachoweza kufanya ni kukuchafulia tu kwenye contact ulizosave kwenye simu.
Maana BoT haiwatambui hata wakipeleka loan credibility zako benki zote wao ndo wataonekana matapeli
 
Labda kama unasema uchague kulipa sasa au baadae,
Ila kulipa ni lazima labda usihitaji huduma za kibenki au uwe umekufa. Hapo inayodaiwa ni namba yako ya nida sio line ya simu
Benki itakuwa shida kama nitahitaji kukopa lakini huduma za kawaida sijaona usumbufu wowote mpaka sasa. Na isitoshe NMB wananitumia sms kibao nikope hela😛
 
Kuna wakati ukisoma contents za hawa jamaa inabidi ucheke tu. Sio.kwa kujikweza huku!!
Hamna bro mi naonaga kawaida tu, uki bahatika kuingia milango au korido tofauti utaona kuna watu wana ishi na ku make it.

Kuna siku Kiranga alikuwa ana nunua juice machine, akaniuliza ipi nzuri.
Bro ile machine ni kama 1.7 ka sio m2 za kibongo 🤣😂.
 
Nimejaribu kuwalipa Sh 202500 kwa leo ili kesho nimalizie Sh 67500 mara tatu lakini mtandao umenirudishia muamala kama inavyoonekana kwenye attachment. Kifuatacho ni vumbi la kiangazi🤣🤣, siwezi kukataa zawadi kutoka kwa mizimu.
 

Attachments

  • IMG_0279.jpeg
    335.1 KB · Views: 26
Sawa mkuu, nimeelewa sema sisi wa mavumbini hatuelewi ujue.😀
 
Taarifa zako zipo CRB wewe chekacheka humu ipo siku utakuja unalia machozi ambayo hatutakusiadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…