Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
- Thread starter
-
- #81
Sasa mimi nifanye nini na muamala umezuiwa mara tatu na mizimu ya mababu?, halafu nimeenda kuombewa pepo la kukopa linitoke😛, hivyo sina mpango wa kwenda benki yoyote. Nitajiwekea kibubu😆Taarifa zako zipo CRB wewe chekacheka humu ipo siku utakuja unalia machozi ambayo hatutakusiadia.
Kuna binti huwa ni mwanangu sema sio kivile, anakuja kuchangia chama Cha ma jobless Sana.Sawa mkuu, nimeelewa sema sisi wa mavumbini hatuelewi ujue.😀
Mizimu na mababu mkuu wamekataa wamecancel 🤣😁Nimejaribu kuwalipa Sh 202500 kwa leo ili kesho nimalizie Sh 67500 mara tatu lakini mtandao umenirudishia muamala kama inavyoonekana kwenye attachment. Kifuatacho ni vumbi la kiangazi🤣🤣, siwezi kukataa zawadi kutoka kwa mizimu.
Labda nieapelekee ofisini. Njia waliyonipa imegomaLipa deni lao
Wewe muongo hakuna app inayokopesha laki mbili chap chap tu. Wanaotoa kiasi kikubwa kwa mara ya kwanza wanaishia kwenye 20-30
Hivi vimkopo binafsi vya app uchwara za mtandaoni ukiomba statement creditinfo unakuta madeni unayodaiwa kwao hayajaorodheshwa.Labda kama unasema uchague kulipa sasa au baadae,
Ila kulipa ni lazima labda usihitaji huduma za kibenki au uwe umekufa. Hapo inayodaiwa ni namba yako ya nida sio line ya simu
Upo sahihi kabisa.Hivi vimkopo binafsi vya app uchwara za mtandaoni ukiomba statement creditinfo unakuta madeni unayodaiwa kwao hayajaorodheshwa.