MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana.
Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani.
Mwenye Enzi Mungu ametuamulia ugomvi, ametuletea Raisi wa haki na anayetibu majeraha.
MUngu akutunze mama yetu.