MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Sukuma gang kinyesi kinagonga chupiDesign watu wanaupiga kwenye dustbin huu uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeahtukia sifa za kimchongo
Kweli kabisa mkuu.Mama Samia ana akili nyingi,Mwenyezi Mungu azidi kumjalia Hekima na Busara mama yetu.Wasalaam wana JF
Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana.
Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani.
Mwenye Enzi Mungu ametuamulia ugomvi, ametuletea Raisi wa haki na anayetibu majeraha.
MUngu akutunze mama yetu.
uovu wote utafichuliwaHata wale walioshirikishwa na kuhusishwa kufanya jinai watajwe tu wajulikane
Ukweli na uwazi utawanyamazisha wanaoendelea kuamini jiwe alikua malaikaKweli kabisa mkuu.Mama Samia ana akili nyingi,Mwenyezi Mungu azidi kumjalia Hekima na Busara mama yetu.
Jiongezewajumbe wa tume ni akina nani!?!?