April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

It is supposed to be broadcasted all over the country na TBC1 ndio inakamata kwingi why hawarushi au ni kwa kuwa waandishi wa habari wanatakiwa wakae mbali? Mbona mareporters wa Ulaya huwa wanareport hata kwenye hatari?
Yale matangazo mara nyingi yanakuwa ya kupangwa, hali inakuwa si ya hatari kiasi kile. Waandishi wanaitwa wakati wamesha-secure eneo ya zile risasi unazizisikia inakuwa ni za kupigia picha tu, si mambapano ya kwelikweli. Lakini there are expections
 
Anord pole sana tufikishie salamu za pole kwa rafiki yako. Hivi ikitoka kitu kama hiki na ikithibitika kuwa ni uzembe waliopatwa na maafa yatafidiwa?
 
Kwanini wajiuzuru??wewe unadhani ni nani wa kwanza kujiuzuru??kuna mu mmoja unamuogopa?

Collective Responsibility

Hakuna anayeogopwa but.

Wakuu hao ndo wapo responsible kuona mambo kama hayo hayatokei

Huo ni uzembe wa uongozi so they have to be acoutable for

Rais amewaamini wanaweza kazi, but they let him down
 
Nasikitika kwa yaliyotokea, familia yangu imekimbilia Mkuranga, wanaogopa kurudi. Kwa wale waliokwenye tukio kukiwa na usalama njulishe nipate kuwashauri warudi. Mimi niko Mtwara sasa, JF ndio chanzo changu cha habari kwa sasa.
 
Hii ni kutokana na moto uliozuka katika Amari ya Jeshi la kujenga taifa.
 
kweli f-i-k-s-i-m-a-n, unajua priority za habari za kiataifa kati ya private v/s government owned media? au TBC ndo biashara yenu?

Umeninukuu vibaya Mkuu, tukio kama hili huwezi kutuma waandishi bila kupata prior information, matokeo yake utaishia kuwahoji watu wa kawaida na usifike katika kiini cha tukio. Tatizo la vyombo vyetu vya habari havichelewi kukurupuka na kutuma waandishi bila kufanya tathmini ya nini wanataka kuonyesha kwa watanzania.

Si kila tukio ni habari, Bali namna inavyochambuliwa na kuwasilishwa ndio hujenga umuhimu wake. Pia lazima uwe muangalifu maana unaweza kwenda kuweka maisha ya familia za watu kaburini.
 
mpaka sasa kamanda wa polisi kanda maalum ya Daressalaam amethibitisha kifo cha mtu mmoja. lakini habari za mtaani zinasema watu wameshuhudia zaidi ya maiti nne. bado kuna hali ya panic na watu wanakimbiakimbia ovyo. maeneo mengine shwar tu
 
Hii ni kutokana na moto uliozuka katika Amari ya Jeshi la kujenga taifa.

Walikuwa wanalundika tu bila ya kufukiria namna ya kukabili moto (in case) ? Poleni waathirika
 
Nasikitika kwa yaliyotokea, familia yangu imekimbilia Mkuranga, wanaogopa kurudi. Kwa wale waliokwenye tukio kukiwa na usalama njulishe nipate kuwashauri warudi. Mimi niko Mtwara sasa, JF ndio chanzo changu cha habari kwa sasa.

Pole sana TzPride yote yatakwisha salama cha kumshukuru MUNGU ni kuwa Familia yako imepona so far. Just stick to JF utahabarika when mambo ni shwari urudishe familia.
 
Hakuna anayeogopwa but.

Wakuu hao ndo wapo responsible kuona mambo kama hayo hayatokei

Huo ni uzembe wa uongozi so they have to be acoutable for

Rais amewaamini wanaweza kazi, but they let him down

Kama ulisoma ile mada ya pale palipobadilishwa .badala ya kujenga kituo cha kuzuia majanga basi watu wanajenga Shopping mall.Hakuna National Priority na mie naogopa sana tunakoelekea ni kubaya sana.

M<uda uliopita nilikuwa naongea na ndugu yangu yupo hapo Dar kaniambia eti ofisi zote zimefungwa..Kwaninizimefungwa???naombeni feedback..

Naogopa sehemu kama mahakamani ushahidi wa baadhi ya kesi unaweza kuibwa amaa kuondolewa kwa visingizio kama hivi..Kuweni makini sana na ofisi then

Invisible,Naomba Update kwenye PM,na kama kuna mtu ana Picha naomba aziweke hapa
 
Nimeongea na jamaa yangu yuko jeshini ni accident tu sio makusudi.Nafikiri watu amourly walijisahau kudispose-off yaliyoisha mda wake.Inasikitisha wananchi wanaenda sehemu ambayo tayari kuna hatari.
Ajali tuu? au uzembe? Watu wanajisahau katika mambo makubwa na madhara yanatokea kisha sisi tunahalalisha kuwa ni ajali tuu!
 
Nimeletewa mssg na mdau mmoja toka nyumbani, ni kwamba watu wawili wamepoteza maisha na kiasi cha wananchi 100 wamepelekwa Temeke hospitali.
Inavyo onekana hali si nzuri sana, sivyo vile jeshi lilivyotarajia.
 
Mbona waiweke Jukwaa la siasa wakati hapa ndipo habari inafaa kuwekwa?
 
https://jamii.app/JFUserGuide it nimerudi tena niko kwenye gorofa ya 12 ....nje watu kibao

milipuko iketokea Mbagala sasa nashangaa mjini tunaambiwa tuondoke

walinzi hawajui kama nimerudi my life will continue as normal ...ikifika usiku ntatazama Arsenal wanawafunga Man U
Disgusting!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom