Arab contractor ndie mkandarasi mzalendo kuliko wote waliowai kufika Tanzania. Vitisho vingi kavipata ila bado kajenga bwawa. Pongezi kwake

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau

Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.

Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.

Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote na ikapigwa vikwazo na banks zilizokuwa zinam support mpaka bank ya dunia ikawapa vitisho.
sababu inajenga bwawa la umeme Tanzania kwenye sehemu ambayo wazungu wanadai ni world heritage site

Arab contractor wamepigwa viti nyingi sana . Ila pamoja na yote kazi wameifanya na wanakaribia kuimaliz
Mradi umekula hela nyingi sana ila mkandarasi mkuu anapaswa apewe pongezi

Kwa jinsi wa Africa tulivyo waoga na tunavyopenda rushwa. Sizani kama Kuna kampuni yeyote ya Africa yenye moyo mgumu kama Arab contractor..

Kukataa rushwa na vitisho vya mabeberu ni kazi ngumu sana kwa mu, Africa
Screenshot_20241128-135458.png
 
mbona wanasema bwawa lina ufa!

Hata kujenga bwawa lenye ufa sio kazi ndogo.

Lile bwawa limejengwa na watu walio serious na kazi kweli kweli.

1. Arab contractor ni giant civil engineering company middle east and africa ndie aliepewa kazi ya civil works zote za bwawa ambazo ni asilimia 55.

2. El sewedy electric aliepewa kazi ya electrical engineering yote ya bwawa yaani kufunga vifaa vya kuzalisha umeme na transformers ndio kampuni kubwa ya electrical engineering kuliko zote barani africa.

3. Sinohydro ambaye ni subcontractor kwenye civil engineering na mechanical engineering za bwawa ndiyo kampuni kubwa ya ujenzi kuliko zote barani asia. Na ipo top 5 duniani

Hizo kampuni 3 giants zote zipo rufiji zinashirikiana kujenga bwawa la umeme lenye thamani kubwa sana

Hivyo hakuna uzembe wowote walioufanya. Kiasi cha kukosolewa na mtu ambaye hawezi kujenga hata flayover mwenyewe.

madalali wa Mabeberu ndio wanaleta choko choko sababu hawalitaki hilo bwawa limekuja kuziba mirija yao ya kufisadi nchi kwa kisingizio cha upungufu wa umeme kama enz za escrow , dowans , iptl, na richmond
 
Habari wadau

Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.

Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.

Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote kutoka bank ya Dunia.sababu inajenga bwawa la umeme Tanzania kwenye sehemu ambayo wazungu wanadai ni heritage site

Arab contractor wamepigwa viti nyingi sana . Ila pamoja na yote kazi wameifanya na wanakaribia kuimaliz
Mradi umekula hela nyingi sana ila mkandarasi mkuu anapaswa apewe pongezi

Kwa jinsi wa Africa tulivyo waoga na tunavyopenda rushwa. Sizani kama Kuna kampuni yeyote ya Africa yenye moyo mgumu kama Arab contractor..

Kukataa rushwa na vitisho vya mabeberu ni kazi ngumu sana kwa mu, Africa
Hilo bwawa limegharimu uhai wa jiwe, apongezwe hata kama ametangulia..
 
Nikajua benki ya Dunia inatoa support kwa Taifa kumbe hadi wakandarasi. Shukrani kwa elimu mpya mkuu.

Ndio. Hii ni project ya pili kwa kula hela nyingi kuliko zote Tanzania

Itapitwa na SGR tu pale itakapokamilika reli yote.

Benk Ya dunia huwa inasaidia project za hela nyingi.. ila kwenye hii wazungu walikataa
 
SEMA hilo bwawa Kuna wanangu wamepiga sana hela hapo.kibarua anaondoka mpaka na laki 6 kwa mwezi
 
Sisi wengine hatupaoni pale Kati. Weka picha ili tulio huku Kazuramimba-Kigoma na Sisi tupaone pale Kati palipo na msukumo mkubwa.
Watu hawaelewi chochote, hiyo nyufa ilikuwepo kwenye bawa la bwawa ambapo hapana pressure kubwa ya maji, pale kati ndio kuna msukumo mkubwa, pale pakitokea ufa ni masaa tu, bwawa linaachia..
 
Habari wadau

Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.

Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.

Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote kutoka bank ya Dunia.sababu inajenga bwawa la umeme Tanzania kwenye sehemu ambayo wazungu wanadai ni heritage site

Arab contractor wamepigwa viti nyingi sana . Ila pamoja na yote kazi wameifanya na wanakaribia kuimaliz
Mradi umekula hela nyingi sana ila mkandarasi mkuu anapaswa apewe pongezi

Kwa jinsi wa Africa tulivyo waoga na tunavyopenda rushwa. Sizani kama Kuna kampuni yeyote ya Africa yenye moyo mgumu kama Arab contractor..

Kukataa rushwa na vitisho vya mabeberu ni kazi ngumu sana kwa mu, AfricaView attachment 3168298
Arab contractor,hapo mtumwa umefurahi sana!
 
Kuna kitu unakiandaa.😎
 
Back
Top Bottom