Arab contractor ndie mkandarasi mzalendo kuliko wote waliowai kufika Tanzania. Vitisho vingi kavipata ila bado kajenga bwawa. Pongezi kwake

Daah, sasa hilo bwawa linavyotumza maji, hao wanyama na mimea si inafaidi sasa?
 
Ndio. Hii ni project ya pili kwa kula hela nyingi kuliko zote Tanzania

Itapitwa na SGR tu pale itakapokamilika reli yote.

Benk Ya dunia huwa inasaidia project za hela nyingi.. ila kwenye hii wazungu walikataa
Wapo sasa wamenuna maana mradi uko vizuri! Ila Magufuli pamoja na roho yake mbaya lakini lilikuwa na maono!
 
Wapo sasa wamenuna maana mradi uko vizuri! Ila Magufuli pamoja na roho yake mbaya lakini lilikuwa na maono!

Kuna wakati bila roho mbaya maono hayawezi kutimia, hakuna nchi imejengwa duniani bila viongozi/ kiongozi mkuu kuwa na roho mbaya.

Fikiria, una plan yakujenga daraja/shule mahala halafu kuna mafala hiyo hela wanaigawana na ujenzi haufanyiki au inafanyika chini ya kiwango.

Fikiria una plan yakujenga bwawa la kuzarisha umeme kwa manufaa ya Taifa lako, halafu ndani ya Taifa lako kuna watu wanapewa rushwa iliujenzi usifanyike na watu waendelee kulinyonya Taifa lako.

Fikiria maendeleo vijijini yanashindwa kufanyika halafu mjini Dar es salaam watu wanakwiba hela la hiyo miradi wanahonga vimada, wananunua magari, wanasomesha watoto Ulaya na kununua majumba SA na Dubai.

Fikiria watu unaowaongoza ni masikini, halafu watu kila siku wanajilipa posho za vikao na kuvifanyia kwenye mahoteli ya kifahari wenye connection nayo na wanalipa hela nyingi.

Fikiria watu unaowaongoza masikini, mashuleni hakuna vitabu, mahospitali hayana dawa halafu watumishi wako wanaanzisha michezo ya mashirika ya umma wanakwenda kucheza sijui mikoani huko, wakitumia mamilioni ya hela kwenye posho na muda wa serikali.

Hebu niambie Kwanini kama kiongozi usiwe na roho mbaya dhidi ya hawa watu?
 
K
Mradi aliobuni na kuufanya Saa100, ni upi? Labda nimesahau
Azi imeanza ni wale wafuasi wa ji na j2 vifuani wameficha mengi hawawezi kujadili caption at hand lazma wadhalilishe mtu haya utajibiwa na mliojipanga na agenda zenu
 
Ulitaka iwe America/ Europe contractor..? Kwasababu walikuwa malaika..?
Hapo wanaumia why asiwe yule muungu wao aliewakataa Israel najua atatokeza mmoja humu atasema hao waarabu ni waisraeli sio wamisr stay and tune sooner later
 
Ndiyo maana kaliagiza yule pingapinga ang'olewe kwa kuchapa risasi, ingawa haikuwa sawa, ila naye kuna wakati anazidi!
 
Haya ni matunda ya mti ulio pigwa mawe ukapigika!😭😭😭
Usubutu wake matokeo ndio hayo. Mwamba Muite jiwe! Apumzike baada ya taabu yake! Magu pumnzika Baba.
 
Haya ni matunda ya mti ulio pigwa mawe ukapigika!😭😭😭
Usubutu wake matokeo ndio hayo. Mwamba Muite jiwe! Apumzike baada ya taabu yake! Magu pumnzika Baba.
Kigwete aikona hivyo anafura kama kifutu! Jiwe miaka 5 tu lakini limewafunika mbaya!
 
Kigwete aikona hivyo anafura kama kifutu! Jiwe miaka 5 tu lakini limewafunika mbaya!
Hakika. Najua hakuna binadamu asiye na madhaifu. Lakini Huyu mwamba jiwe tulipewa na Mungu. Ila kwa wakati ule na matope alio pakwa daaah! hakuna ambaye angekubali kwamba Mungu alitupatia bahati kwa wakati wake.
 
Hapo Jiwe alishika penyewe.

Japo nilikua sikubali sera zake nyingi, Kwenye hili nampa five.
Ni kweli mkuu ili mambo yaende lazima tutofautiane mitazamo ili wewe utowe hoja yako na mwingine atowe hoja yake ndio mambo yataenda. Tofauti na hapo binadamu tunaweza kuwa kama nyumbu.
 
Ndio. Hii ni project ya pili kwa kula hela nyingi kuliko zote Tanzania

Itapitwa na SGR tu pale itakapokamilika reli yote.

Benk Ya dunia huwa inasaidia project za hela nyingi.. ila kwenye hii wazungu walikataa
Ya kwanza ni ipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…