Arab contractor ndie mkandarasi mzalendo kuliko wote waliowai kufika Tanzania. Vitisho vingi kavipata ila bado kajenga bwawa. Pongezi kwake

Mkuu kwanza hii sio roho mbaya. Mimi nazani ni kuwashikisha adabu wasio na adabu. Uwajibikaji ni muhimu.
 
Hakika. Najua hakuna binadamu asiye na madhaifu. Lakini Huyu mwamba jiwe tulipewa na Mungu. Ila kwa wakati ule na matope alio pakwa daaah! hakuna ambaye angekubali kwamba Mungu alitupatia bahati kwa wakati wake.
Bahati haiji mara mbili, ona balaa tulilopata sasa, deni trillion 200 huko, na wanafunzi bado wanakaa chini
 
Daah, sasa hilo bwawa linavyotumza maji, hao wanyama na mimea si inafaidi sasa?

Walisema wanyama watakosa maji ya kunywa.

Itakatwa miti milioni 3. Hivyo mvua hazitanyesha tena.

Cha kushangaza mvua zimenyesha mpaka zimepitiliza.

Tembo na wanyama walioambiwa watakosa maji wanakula shangwe ya mvua wanaogelea tu kwenye maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…