Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Hapana bwana mimi nimeiuliza chat gpt70,128 hours ndio miaka minane mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana bwana mimi nimeiuliza chat gpt70,128 hours ndio miaka minane mkuu
Sina kumbukumbu vzr Ila nakumbuka N.Wazir dotto biteko kama alifungua baadhi ya mitambo lakini sio ya bwawa zima na ndomana hata thread hii imeanza kw mwandish kusema soon bwawa lotakabidhiwa Rasmi. Au sijaelewa sehem?we itakuwa unaishi burund
Miaka 8217 aisee😄Unajua ni miaka mingapi hii!?
Huu ni mradi mkubwa mzuri ila sio wa Sgr.
By the way Sgr imetumia gharama kubwa zaidi ya huu kufika tuu pale Dom.
Mh! yani uwe na mradi wa mapesa hivyo halafu usumbuliwe na miundo mbinu basi hukustahili kuwa na huo mradi!, mkuu waafrika tuna mambo ya ajabu sana swala.
Twambie pia kwanini Umeme bado bei juu wakati upo mpaka unamwagika na kukata kata kuko pale pale.Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanya Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga
3. Magari na equipment 1681 vimetumika kusaidia ujenzi
4. Masaa milioni 72 yametumika kwenye kazi ya kulijenga
5. Ndio mradi pekee ambao subcontractor tu, alikuwa anapewa kazi na kulipwa zaidi ya trilioni.
6. Ndio engineering project ilioleta mizigo mizito kuliko yote kuwai kufika africa mashariki. unakuta Mzigo mmoja tu una tani zaidi 200, sheria na kanuni za tanroads hawaruhusu kupitisha mizigo mizito sana barabarani ila kwenye bwawa walikaa kimyaa kama hawapo vile. Traffic wakiona gari limebeba mzigo wa bwawa tu hawaombi hata leseni ya dereva maana wanajua kibarua kitaota nyasi
7. ndio mradi pekee ulioonesha kwamba taasisi za serikali zinaweza kufanya kazi kwa spidi maana zilifanya kazi kwa spidi ya hali ya juu, bwawa lipo porini mbugani ila siku ambayo mkataba ulisainiwa, mkandarasi aliwaambia anataka akute maji safi site, umeme uwepo site, hospitali iwepo site
wizara ya maji ilitandika mabomba na kufikisha maji safi site kati kati ya pori fasta fasta wakati Dar tu kuna sehemu kibao maji safi hayajafika kwa miaka 60, tanesco nao walitandika nguzo za umeme na kufikisha umeme site fasta fasta, Tazara na yeye alifufua stesheni ya Fuga na kujenga kota za wafanyakazi wa tazara haraka haraka.
8. ndio mradi pekee ambayo serikali iliziba masikio kelele za wazungu, UN, UNESCO , WORLD BANK waliongea maneno yote ila hakuna kilichobadilika
screen shot kutoka website ya unesco 17 april 2020
View attachment 3237536
Ni miaka zaidi ya 8000 yani mtoa mada anamaanisha bwawa limejengwa kabla ya Kristu hadi leo alafu anasema limejengwa harakaUnajua ni miaka mingapi hii!?
Kuna miradi ilikamilika na haikuweza ku-deliver kama ilivyokusudiwa...pesa zilipigwa haswa, mradi chini ya usimamizi wa serikali ya JK, ufadhili wa IMF.
Huu pia, pesa zimepigwa haswaaa, na kama wamefikia hatua ya kukabidhi basi angalau DSM yote na ukanda wote wa pwani tungeanza kuona faida za uwepo wa umeme! Ila ndo unakatika kuliko kawaida.
8yrs
Uliza masaa gani, yanaweza kuwa masaa ya wafanyakazi wote 11,000 waliyo clock in wakati wa mradiUnajua ni miaka mingapi hii!?
I don't understand mathsmnakosea jinsi ya ku calculate hizo 72 milion hours.
Person-hour Definition & Meaning
The meaning of PERSON-HOUR is a unit of one hour's work by one person.
sasa chukua hao wafanyakazi elfu 11 kisha jumlisha masaa yao yote waliyofanyia kazi kila mmoja kwa miaka ya kazi, uone total utapata masaa mangapi
Miaka 8217 aisee😄
Dah! Hili bwawa limejengwa kwa miaka laki moja na elfu tisini na saba mia mbili ( miaka 197,200+)🤣🤣🤣4. Masaa milioni 72 yametumika kwenye kazi ya kulijenga ( person- hours 72 milion hours)