Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

Mpwa huyo wa kaka mkubwa
 
Mbona asubuhi (wakati wa kusainiana) tulijuzwa kuwa serikali kwa siri imeingia ubia na hiyo kampuni kukopa huko wanakojua baada ya west kukataa kudonate? tutasikia na kuona mengi!
 
Kwa kazi tu Rais wangu amefanya. tusipo mpongeza akiwa hai basi hata siku moja huko mbele akiwa amekufa kizazi chetu kitamkumbuka kwa kazi hii nzuri anayo endelea kuifanyia Taifa letu hili
Heko kwako Mh Rais Magufuli
 
Miradi hii tutakuja kuichunguza maana ripoti za CAG awamu hii zinaashiria mengi yasiyofaa.

Na huu mradi tunasubiri uhamishiwe ofisi ile ambayo matumizi yake hayakaguliwa ila hii ni kinga ya muda tu.
Imekuuma kamanda
 
Hii miradi hadi ikakamilike tutakuwa tumechakaa vya kutosha.
 
Huu mradi ni mkubwa Jamani acheni Masihara Hongera sana rais Kw kutupeleka mbeke
 
Chadema watajinyea awamu hii ,wamebanwa kila kona.

Go Magufuli Go
Hapo ndo ujue CHADEMA ndo chama cha upinzani Tanzania.Yani mtu akipingana mawazo tu ni CHADEMA !!! hivi hujui kuwa kuna vyama kibao vya upinzani???
 
Na hutolewa pale mkandarasi anaposubmit advance payment bond equivalent na 15% ya cotract price. Maccm haya mambo hawawezi yajua
Yaaa! Especially Bank Guarantee!

Nimekusoma mkuu!
 
aliombewa na kufanyiwa mabaya ghadafi aliye fanya haya huku akiwapa maish safii raia wake iwe huyu ambaye raia wanachakaa kila idara, anzia kipato, lishe na kiakili.

huyu niwa kuombea mabaya kila dk.
Dua la kuku hilo
 
Hii miradi hadi ikakamilike tutakuwa tumechakaa vya kutosha.
Wewe akili yako mbovu na uelewa wako ni mdogo sana kichwani,poleni sana nyumbu hamjui mlitendalo.Tumezalisha kizazi cha hovyo sana hivi karibuni ambacho kwao kila kitu ni kinyume
 
Kitendo cha shughuli zote kufanywa na hao waarabu kwa 100% bila hata kutoa "Sub-Contract" kwa local contractors kinadhihirisha wazi kuwa fedha za ujenzi zinatoka Misri ila kama ilivyo ada serikali haipendi ifahamike hivyo.

Subcontractors ni kwa zile kazi ambazo kweli watanzania wanazimudu, complex project kama hii contract haitolewi kwa mihemko hiyo unayo fikiri.
Na hutolewa pale mkandarasi anaposubmit advance payment bond equivalent na 15% ya cotract price. Maccm haya mambo hawawezi yajua
As if chadema mlishawahi kufanya project hata ya kutotolesha vifaranga, ofisi tu kama choo cha primary school
 
Mpwa ndo kakabidhi fedha, hapo 10 percent imeshamfikia Omar Al Bashir
 
Mbona asubuhi (wakati wa kusainiana) tulijuzwa kuwa serikali kwa siri imeingia ubia na hiyo kampuni kukopa huko wanakojua baada ya west kukataa kudonate? tutasikia na kuona mengi!
Na akili yako ilivyo finyu ikabeba hiyo pumba kama ilivyo? Kuna mradi unaopingwa na hao "West" kama huu? Kivipi sasa hata serikali ifikirie kuomba mkopo {actually not donation go back to school} kutoka kwao?
 
Viva magufuli 2020[emoji1241][emoji818]
 
Ni kwa vile mzee baba yuko safarini kwa Kamuzu, la sivyo hundi hiyo ingekabidhiwa pale karibu na ferry kwa mbwembwe na majidai huku Kabudi na Ndugu gay wakipewa nafasi ya kutoa salam kunogesha sherehe na mzee baba akimalizia kwa kuelezea uzalendo ni nini
 
Wewe akili yako mbovu na uelewa wako ni mdogo sana kichwani,poleni sana nyumbu hamjui mlitendalo.Tumezalisha kizazi cha hovyo sana hivi karibuni ambacho kwao kila kitu ni kinyume
Sijaona sababu ya wewe kutoka povu kiasi hicho, unaangali mambo kwa urefu wa pua yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…