Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

utai
utaitwa mchochezi mkuu hasa unapohoji maswala yenye mantiki kama haya. hawakujibu kwa fact ila utashambuliwa
 
MALIMBIKIZO YA WATUMISHI WA UMMA HASA WALIMU YANALIPWA LINI???
 
Donation ni mambo ya harusi na send off, huwezi kuita more than 7 trillions money a donation, na hapo ndio nimeona akili yako finyu.
 


Mkandarasi ujenzi Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji Kampuni ya Arab Contractors ya nchini Misri imekabidhiwa hundi ya Bilioni 688.651 kama malipo ya awali kwa ajili ya kuanza kazi za ujenzi. Hundi hiyo imekabidhiwa leo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James.


 
Huu mradi ukikamilika, litakuwa jambo la msingi kabisa kwenye mapinduzi ya viwanda. Nakumbuka alisema ije mvua lije jua lazima ajenge.

Ila isije kuwa ni namna ya kuaminisha tofauti na CAG.
 

Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.

Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.

Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.

Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
 
Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
 
Hiyo picha uliogopa kupiga vizuri ili ulete kitu kinachoeleweka?
 
Huyu Jamaa Heading na alichoandika ni vitu viwili tofauti. Lumumba Shida kweli! Haraka kama bao la Ugwadu!
 
Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
 
Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Nyie mnataka mlimpwe unono mnajua pesa zinatoka kwenye kodi zetu kwaiyo unataka sisi tuendelee kukamuliwa nyie mneemeke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…