DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
utai
utaitwa mchochezi mkuu hasa unapohoji maswala yenye mantiki kama haya. hawakujibu kwa fact ila utashambuliwa1. Nini maana ya "hundi ya mfano" na ina umuhimu gani?
2. a. Engineering Consultant wa mradi huu ni nani?
b. Gharama zake ni kiasi gani?
3. a. Nimesikia tanroads inahusika katika usimamizi (consultant) wa mradi huu. Ni kweli?
b. Kama ni kweli nauliza ' vipi tanroads wawe consultant wa project kubwa kama hii ambayo ni ya kwanza nchini kwa scope, wana uzoefu gani na miradi ya aina hii?
4. Tarehe za kuanza na kukamilika kwa mradi ni zipi kwasababu miradi ya aina hii hukamiluka baada ya muda mrefu pengine hata miaka 10+. Na si ajabu gharama za ujenzi kuongezeka. Hasa ikiwa kuna uharaka usio wa kawaida.