Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Arajiga 1-0 Simba ndiyo hivyo tena na hakuna la kumfanya.Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Usijisumbue ndugu kuwakumbusha.Mbona mliletewa mpaka marefa kutoka misri na mkapigwa chuma mbili,ina maana wa refa ni wa yanga?
TFF wameona ujinga kusumbuana hata wakimleta collina bado mtafungwa tu, wameona watumie marefa hawa hawa
Wamisr walikuja, kila wakiona mpira unakuta yanga inamiliki, mwishowe wakamaliza mchezo dk 3 kabla ili kuinusuru simba...wakaleta mwingne wakatangulia bao mbili dk ya tisa, mara 2 kwa 2 dk ya tisin..
Au juzi arajiga ndye alimshka mabega kipa akashnwa kukamata mpira wa albert likawa goal?
Upo sawa Arajiga ndo anayetufunga Wala siyo yanga hakuna marefa wengine wa kuchezesha katika ligi zaidi ya yeye? Tff ni wahumiHapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Misri wenyewe wanaagiza waamuzi nje kwa mechi za dabi, kanuni zilibadilishwa ili waamuzi toka nje wachezeshe ligiMmeshasahau kuwa TFF iliwahi kuwaletea waamuzi wa kimataifa kutoka Misri ili kuondoa malalamiko yenu, lakini bado mkafungwa mabao 2-0 Hii inathibitisha wazi kuwa shida haijawahi kuwa waamuzi au "kila mwamuzi ni wa Yanga."?
TFF wamegundua kuwa kutafuta waamuzi kutoka nje ni kupoteza muda na rasilimali. Hata akija Pierluigi Collina kusimamia mchezo, matokeo uwanjani yatabaki yale yale—kufungwa kupo palepale kwa sababu mpira unachezwa uwanjani na si kwenye filimbi ya refa.
Ndiyo maana TFF wameona hakuna haja ya kuendelea na uchezeshaji wa gharama usio na tija. Marefa wa hapa hapa nyumbani wanatosha kabisa, maana matokeo ya mpira huamuliwa na kiwango cha timu na maandalizi, wala si uraia wa mwamuzi.
Tunafanyaje sasa? Ni ngumu sana marefa wa kibongo kuwatenganisha na usimba na uyanga maana ndio imekuwa kama dini.Misri wenyewe wanaagiza waamuzi nje kwa mechi za dabi, kanuni zilibadilishwa ili waamuzi toka nje wachezeshe ligi
Rangi nyeusi kwenye uongozi ni Sawa Na takataka kanisaniTunafanyaje sasa? Ni ngumu sana marefa wa kibongo kuwatenganisha na usimba na uyanga maana ndio imekuwa kama dini.
Mpira mchezo wa wazi sana, Arajiga ni kichaka cha kuficha mapungufu.Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Namna gani wewe?Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Tunaongalia majority vs minority outcomes shida mashabiki ya Yanga yanaakisi historia ya Timu yao Timu ilianzishwa na wajinga wengi Hohehahe Makuli nkMmeshasahau kuwa TFF iliwahi kuwaletea waamuzi wa kimataifa kutoka Misri ili kuondoa malalamiko yenu, lakini bado mkafungwa mabao 2-0 Hii inathibitisha wazi kuwa shida haijawahi kuwa waamuzi au "kila mwamuzi ni wa Yanga."?
TFF wamegundua kuwa kutafuta waamuzi kutoka nje ni kupoteza muda na rasilimali. Hata akija Pierluigi Collina kusimamia mchezo, matokeo uwanjani yatabaki yale yale—kufungwa kupo palepale kwa sababu mpira unachezwa uwanjani na si kwenye filimbi ya refa.
Ndiyo maana TFF wameona hakuna haja ya kuendelea na uchezeshaji wa gharama usio na tija. Marefa wa hapa hapa nyumbani wanatosha kabisa, maana matokeo ya mpira huamuliwa na kiwango cha timu na maandalizi, wala si uraia wa mwamuzi.
msimpe presha refa ili afanye mnavyotaka nyinyi (kubebwa)Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Acheni janja janja zenu hapa, ukweli usemwe Arajiga anaizamisha Simba kila uchwao, iko wazi kabisaa.Mpira mchezo wa wazi sana, Arajiga ni kichaka cha kuficha mapungufu.
Wamekuja waamuzi mara mbili kutoka nje then ikawaje, ukiupenda na kuujua mpira itakusaidia kuielewa timu yako.
Leo mkishinda, mtamsifia refa; mkifungwa, mtamlaumu refa, kifupi hamjiamini mnatafuta chaka la lawama. Timu ikifanya vibaya, lawama zote mnamtwisha Mangungu, lakini timu ikifanya vizuri, Mangungu hamumkumbuki hata kidogo.Tunaongalia majority vs minority outcomes shida mashabiki ya Yanga yanaakisi historia ya Timu yao Timu ilianzishwa na wajinga wengi Hohehahe Makuli nk
Hao mliowataka nyinyi walivyokuja mlifanywa nini?Acheni janja janja zenu hapa, ukweli usemwe Arajiga anaizamisha Simba kila uchwao, iko wazi kabisaa.