Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274
Snapinsta.app_457618600_434433299606449_1816680444312025013_n_1080.jpg

Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

UNDANI WA ALICHOSEMA
"Nilimuoa mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kutoka 2020 hadi 2023 lakini niligundua kuwa alikubali kuolewa kwasababu ya pesa zangu miezi 2 tu ya ndoa yetu, nikaamua kuhamisha kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira anipe talaka. Siwezi kamwe kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tena mimi na mama yangu tulicheza pamoja baada ya talaka yangu." ARCHRAF HAKIMI ".

Niliandikisha mali zangu zote kwa jina la mama yangu wakati nilipoanza kumshuku mke wangu, Hiba Abouk ilikuwa karibu mwaka mmoja katika ndoa yetu kabla ya talaka yetu na tulikuwa na ugomvi mdogo asubuhi moja na aliniambia kwamba napaswa kujua kwamba anaweza kufungua kesi Ya talaka wakati wowote na ikiwa atafanya hivyo, tutagawana mali yangu kwa usawa. Niliposikia haya, niligundua kuwa nilikuwa nikiishi na gõld-digger. Kisha nikaanza kufikiria nifanye nini na ghafla wazo la kusajili mali zangu kwenye amana ya jina la Mama likanijia kichwani mwangu.

Kwa hiyo nilikwenda kwa Mama yangu na kumueleza kila kitu na akaniambia: "Mwanangu, nilikubeba tumboni mwangu kwa muda wa miezi 9 na siwezi kamwe kuruhusu jambo lolote litokee kwako. Tulifanya kazi kwa bidii sana kukufikisha hapa ulipo leo na hakuna mwanamke atakayetoka popote na kukuangusha.

Kisha mara moja tukahamisha kila kitu nilichokuwa nacho kwake kiasi kwamba hata nguo zangu, na jezi ninayotumia kucheza mpira ilikuwa ni yake. Kwa hiyo mke wangu alipowasilisha kesi ya talaka na kudai nusu ya mali yangu, sikuwaza ata. Hata aliniambia kuwa nitaenda kuachana baada ya talaka yetu lakini nilicheka tu moyoni mwangu. Na kama tunavyosema kila mara, Kushindwa Kupanga Ni Kupanga kushindwa, alishindwa kupanga na nikafaulu kupanga. Alishtuka kugundua kuwa sikuwa na chochote na mama yangu ndiye anayetutunza. Alilia sana si kwa sababu tulikuwa tunatalikiana lakini kwa sababu aliondoka mikono mitupu kama vile alivyokuja. Wanaume wapendwa, marafiki watakusaliti, wake watakusaliti lakini upendo wa mama ni mkuu." ARCHRAF HAKIMI.

Archraf Hakimi ni beki bora wa pembeni wa timu ya Taifa ya Morocco na klabu ya Paris Saint Germain iliyopo Ufaransa. Ni baba wa watoto wawili na mke wake wa zamani ,Hiba raia wa Hispania.

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023​

lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu​

Mama yake pia ni mwanamke.

Hapo naona kuna lugha gongana
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Du!!! kidume!! mimi namsikilzia AZIZ KI!! namchukulia kama kitabu!!!..atakuja kupigwa na ki2 kizito kama marehemu NDIKUMANA!!!.....
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Huyu mwanamke anayemwamini pia ni mke wa mtu. Aliaminika ndio maana leo anamuamini.
Kuamini mtu haijalishi ni mwanaume au mwanamke.Ni tabia na hulka ya mtu.
Stereotype ni ufinyu wakufikiri.
 
N
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Ni kweli,kwawaarabu Haina shiidaa nafikiri mfano wanapeanaga mitaji na kelele hakuna.kwetu ngozi nyeusi ingeleta vita nzurii sana Baada ya mama kufa.
 
Back
Top Bottom