Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

"Nilivyomuoa mke wangu, Hiba Abouk mwaka 2020 hadi 2023, baada ya miezi miwili, niligundua amekuja kuchukua pesa zangu, hivyo nikaamua kuhamisha kila kitu kwa jina la mama
yangu na nikawa nasubiri ajaze fomu ya talaka.

Kamwe sitokuja kumuamini mwanamke yeyote tena isipokuwa mama yangu. Mimi na mama yangu tulicheza muziki baada ya kuona talaka.

Nilisajili mali zangu zote kwa jina la mama baada ya kuhisi kuna kitu kibaya anapanga.

Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, kabla ya talaka, tuligombana kidogo tu asubuhi ile, alisema natakiwa kujua anaweza kutaka talaka muda wowote na tutagawana mali zote sawa sawa.

Baada ya kusikia hivyo, nilitambua mke wangu ni malaya (gold digger) kisha sikupuuzia kauli yake na kuanza kufikiria nini cha kufanya.

Wazo la kumpatia mali zangu mtu ninayemuamini, jina la mama yangu likanijinia kichwani.

Tumepambana sana kufika ulipo, hivyo hakuna mwanamke aliyetoka huko aje kukuangusha, Basi haraka tulihamisha kila ninachomiliki hadi nguo mpaka jezi ninazochezea, zimehamia kwa mama.

Baada ya mke wangu kudai talaka na kutaka nusu ya mali zangu, sikuumia akili, Alikuwa ananiambia nitaenda kuwa kapuku, mganga njaa baada ya talaka, nilibaki nacheka moyoni.

Ukifeli kupanga basi jipange kufeli... Alifeli kupanga, nilifanikiwa kupanga alishtuka baada ya kugundua sina kitu.

Alikuwa analia sana mahakamani sio uchungu wa talaka ila kwa sababu aliondoka kama alivyokuja.

Wanaume wenzangu, marafiki watakusaliti, wanawake watakusaliti ila upendo wa mama
hauelezeki;

Achraf Hakimi.

UMEJIFUNZA NINI?

NB: MWANETU MKATILI
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

UNDANI WA ALICHOSEMA

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Hizi ni points tatu kabisa kwa team kataa ndoa
 
Hizi mambo zimekuwa hatari Tyrese Gibson naye juzi kaongea 50 cent alimshauri mapema tu hey bro watch ur wife hakuelewa ile kauli demu kaanza visa talaka mali pasu kwa pasu tyrese ndo akakumbuka ile kauli ya 50 cent karudi kwa mchizi wake ndo akampa nafasi kwenye series yake ya power kidogo mchizi ajipooze moyo
 
Afu demu bado anapewa 20k child support.
 
Hizi mambo zimekuwa hatari Tyrese Gibson naye juzi kaongea 50 cent alimshauri mapema tu hey bro watch ur wife hakuelewa ile kauli demu kaanza visa talaka mali pasu kwa pasu tyrese ndo akakumbuka ile kauli ya 50 cent karudi kwa mchizi wake ndo akampa nafasi kwenye series yake ya power kidogo mchizi ajipooze moyo
Hapo kuna kujifunza kitu sasa jikute unapenda sana kama wewe ndio kwanza kupenda toka dunia hii ianzishwe😄😄😄
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Maisha ya Watu weusi wengi zaidi yameathiriwa na misingi au mifumo mibovu ya malezi ya familia, tamaduni, mila, desturi pamoja na mifumo mibovu ya Kiutawala iliyopo kwenye hizi nchi zetu, hususani kwenye hizi nchi nyingi za ki-Afrika.
Kwenye nchi za wenzetu mifumo yao ya maisha na hata Sheria za nchi zao zipo very much clear kuhusu suala hili la Umiliki wa Mali kwa wanandoa na mgawanyo wa mali zilizochumwa na wanandoa wakati kabla, na baada ya ndoa. Kila Mwanandoa anajua haki zake binafsi za umiliki wa mali katika ndoa, that's why nchi nyingi sana za Magharibi Wana mifumo ya Kusajili Mali binafsi za Wanandoa-watarajiwa wanaotaka kuoana au PRE-NUPTIAL CONTRACTS (Pre-nup Contract), aka: Pre-marrital Contracts. Hii inasaidia Sana kukomesha Migogoro ya kugawana mali miongoni mwa Watalaka wakati wa kuachana, pia inawadhibiti Watu Matapeli wa Ndoa, wenyewe Wazungu wanawaita kwa Jina la 'Gold-diggers.'
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

UNDANI WA ALICHOSEMA

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Jjackline ana mke
 
Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Chifu, katika hili hakuna cha Mswahili wala Mzungu, wote wanakumbana na hawa viumbe wa kike kwenye mali. Labda kinachowasaidia hawa Wazungu, especially Celebrities wa Kizungu, wakishakumbana na pilato, wanafanya fasta ku-settle madai ili kukwepa kashfa.
 
Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Go and re-do your research; starting with footballers first then turn up to the American musicians. Siku 1 nilikua naongea na expatriate mmoja wa kampuni moja bongo; huyu bwana ni Mzungu wa taifa fulani, tulikua tunaongelea issues za mahusiano; this is what he told me, "Makwizi, 3/4 ya expatriates unao waona, mke aliye nae sio wa kwanza, walitarikiana na mkewe wa kwanza, wanawake sio wavumilivu"
Kuna vitu wanawake na wanaume tunafanana regardless your race
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Unadhani hawajakaa kama familia kuhusu hilo? Again, better ukagawana na ndugu zako mliopata nao shida utotoni kuliko kuzurumiwa mali zako ulizotafuta kwa jasho halafu mwanamke akampelekea mwanaume mwenzio mbali huko. Damu nzito kuliko maji
 
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

UNDANI WA ALICHOSEMA

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Wanaune wengine bwana...wangese kweli kweli. Sasa wee mwanamke akupende wewe kwa kisa gani? Wanapenda hela zako tuuu hamna chingine ndio maana na wewe mwanaume unatakiwa kupenda sura na chura yake tuu.
Hana tako piga chini
 
Go and re-do your research; starting with footballers first then turn up to the American musicians. Siku 1 nilikua naongea na expatriate mmoja wa kampuni moja bongo; huyu bwana ni Mzungu wa taifa fulani, tulikua tunaongelea issues za mahusiano; this is what he told me, "Makwizi, 3/4 ya expatriates unao waona, mke aliye nae sio wa kwanza, walitarikiana na mkewe wa kwanza, wanawake sio wavumilivu"
Kuna vitu wanawake na wanaume tunafanana regardless your race
Hawa ukikosa ndalama tuu hufai kwao ndio maana kidume hakikisha unagegeda wanWake wengi iwezekanavyo kulingana na urefu wa mfuko wako.
 
Back
Top Bottom