Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni points tatu kabisa kwa team kataa ndoa
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023
Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.
UNDANI WA ALICHOSEMA
Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Unaelewa maana ya 'mwanamke' katika muktadha huo!Mama yake pia ni mwanamke.
Hapo naona kuna lugha gongana
Zingatia neno "isipokua"Mama yake pia ni mwanamke.
Hapo naona kuna lugha gongana
Mapunga hayataki ndoa
Kuna tofauti kati Mwanamke na Mke...Mama yake pia ni mwanamke.
Hapo naona kuna lugha gongana
Afu demu bado anapewa 20k child support.Hizi mambo zimekuwa hatari Tyrese Gibson naye juzi kaongea 50 cent alimshauri mapema tu hey bro watch ur wife hakuelewa ile kauli demu kaanza visa talaka mali pasu kwa pasu tyrese ndo akakumbuka ile kauli ya 50 cent karudi kwa mchizi wake ndo akampa nafasi kwenye series yake ya power kidogo mchizi ajipooze moyo
Hapo kuna kujifunza kitu sasa jikute unapenda sana kama wewe ndio kwanza kupenda toka dunia hii ianzishwe😄😄😄Hizi mambo zimekuwa hatari Tyrese Gibson naye juzi kaongea 50 cent alimshauri mapema tu hey bro watch ur wife hakuelewa ile kauli demu kaanza visa talaka mali pasu kwa pasu tyrese ndo akakumbuka ile kauli ya 50 cent karudi kwa mchizi wake ndo akampa nafasi kwenye series yake ya power kidogo mchizi ajipooze moyo
Zimwi likujualo halikuli likakwisha!Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,
Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,
Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Maisha ya Watu weusi wengi zaidi yameathiriwa na misingi au mifumo mibovu ya malezi ya familia, tamaduni, mila, desturi pamoja na mifumo mibovu ya Kiutawala iliyopo kwenye hizi nchi zetu, hususani kwenye hizi nchi nyingi za ki-Afrika.Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Jjackline ana mke
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023
Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.
UNDANI WA ALICHOSEMA
Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Chifu, katika hili hakuna cha Mswahili wala Mzungu, wote wanakumbana na hawa viumbe wa kike kwenye mali. Labda kinachowasaidia hawa Wazungu, especially Celebrities wa Kizungu, wakishakumbana na pilato, wanafanya fasta ku-settle madai ili kukwepa kashfa.Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Go and re-do your research; starting with footballers first then turn up to the American musicians. Siku 1 nilikua naongea na expatriate mmoja wa kampuni moja bongo; huyu bwana ni Mzungu wa taifa fulani, tulikua tunaongelea issues za mahusiano; this is what he told me, "Makwizi, 3/4 ya expatriates unao waona, mke aliye nae sio wa kwanza, walitarikiana na mkewe wa kwanza, wanawake sio wavumilivu"Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Unadhani hawajakaa kama familia kuhusu hilo? Again, better ukagawana na ndugu zako mliopata nao shida utotoni kuliko kuzurumiwa mali zako ulizotafuta kwa jasho halafu mwanamke akampelekea mwanaume mwenzio mbali huko. Damu nzito kuliko majiAlitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,
Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Wanaune wengine bwana...wangese kweli kweli. Sasa wee mwanamke akupende wewe kwa kisa gani? Wanapenda hela zako tuuu hamna chingine ndio maana na wewe mwanaume unatakiwa kupenda sura na chura yake tuu.
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023
Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.
UNDANI WA ALICHOSEMA
Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Hawa ukikosa ndalama tuu hufai kwao ndio maana kidume hakikisha unagegeda wanWake wengi iwezekanavyo kulingana na urefu wa mfuko wako.Go and re-do your research; starting with footballers first then turn up to the American musicians. Siku 1 nilikua naongea na expatriate mmoja wa kampuni moja bongo; huyu bwana ni Mzungu wa taifa fulani, tulikua tunaongelea issues za mahusiano; this is what he told me, "Makwizi, 3/4 ya expatriates unao waona, mke aliye nae sio wa kwanza, walitarikiana na mkewe wa kwanza, wanawake sio wavumilivu"
Kuna vitu wanawake na wanaume tunafanana regardless your race