Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274

Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023

Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi 2 tu kwenye ndoa yetu ndipo nikaamua akuhamishia kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira adai talaka siwezi kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tu.

UNDANI WA ALICHOSEMA

Pia soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
 
Mama yake pia ni mwanamke.

Hapo naona kuna lugha gongana
 
Du!!! kidume!! mimi namsikilzia AZIZ KI!! namchukulia kama kitabu!!!..atakuja kupigwa na ki2 kizito kama marehemu NDIKUMANA!!!.....
 
Huyu mwanamke anayemwamini pia ni mke wa mtu. Aliaminika ndio maana leo anamuamini.
Kuamini mtu haijalishi ni mwanaume au mwanamke.Ni tabia na hulka ya mtu.
Stereotype ni ufinyu wakufikiri.
 
N
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Ni kweli,kwawaarabu Haina shiidaa nafikiri mfano wanapeanaga mitaji na kelele hakuna.kwetu ngozi nyeusi ingeleta vita nzurii sana Baada ya mama kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…