Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

Ni ipi application ya chuo kigumu?? nilitegemea unauliza ni chuo gn bora kwa fn husika kt ya hivyo ambacho kinatoa competent graduate?? kuna haja ya kubadili mtaala Tz hl kubdl mawazo ya hw wasomi wetu!
 
Siamini mambo mawili, kwanza, siamini kama wewe ni mwanafunzi wa chuo chochote kikuu kwa kuanzisha kwako huu uzi na pili siamini kama kweli uko hiyo ARU kama unavyoichambua! utaje kozi ngumu za ARU usiitaje Geodesy? Yaani wewe umeona LMV ni ngumu kuliko Surveying/Geodesy?
 
Ongelea pesa
 
Kumbe ulitemwa muhas ha ha ha.! ningeshangaa kama ungechaguliwa
 
Izo stor za kutiana sifa mkiwa first year mara ooh chuo chetu kigumu!!!!! Ili demu aone unasoma chuo cha ukweli ....chuo tungesema ni kigumu kama pass mark ingekuwa kubwa kuliko ya kawaida ya TCU ya 40 lakin kama ni hii hii hacha ujinga na sifa tangu niko o level nasikia Mzumbe ni ngumu lakin hoja ya msingi ambayo wangrtumia kusapot sifa yao ilikuwa ni passmark ambayo ilikuwa 50 badala ya 40 na disco 3 in cours of study badala ya 4 in year of study lakini tangu warekebishe ukisikia mtu anasema Mzumbe ni ngumu mpige ngumi la puani aacheni ujinga someni hamna chuo kigumu
 
Sasa huo ugumu wa vyuo vyenu umewasaidia kuvumbua nin kipya hapa duniani?
Havard shule yao sio ngumu wala nini,na vijana pale wanakula bata mpaka shetani anawaonea wivu lakini check graduates wake walivyo innovatives,nyie kalien ujinga wa kujisifia sijui chuo flani ndio kigumu wkt nyie wenyewe ndio wagumu wa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…