Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ukisema unaangalia tumbo lako je unaangalia tumbo lako ukiwa wapi? Kesho utatolewa hapo ulipo kwa namna wamasai wanavyoondolewa mkuu paza sauti kemea usikae kimya
 
Watu wanalia njaa na umaskini lakini Serikali ikitaka kucreate uwekezaji wanakuja tena kulialia kuwa nchi inapigwa mnada..
 
Mtoto wa mlamba asali yupo mzingani
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
 
We Ngorongoro inakusaidia nini? Tuna Serengeti, Tarangire, Manyara, Mikumi, Selous na nyingine nyingi. Why Ngorongoro?
Ni miongoni mwa maajabu ya dunia
 
Sasa badala ya kulialia humu wakusanye wakaldayo wenzako muingie msituni. Siyo kung'akang'aka nyuma ya keyboard.

Get up stand up stand up for your right.

Kammoon
Bado tunatumia ustaarabu na mazungumzo hatutaki kuumizana
 
Watu wanalia njaa na umaskini lakini Serikali ikitaka kucreate uwekezaji wanakuja tena kulialia kuwa nchi inapigwa mnada..
Umaskini ndio utaondolewa kwa kuwahamisha wamasai kwenye ardhi yao
 
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
Yaani kinachoniuma mm ni sisi Wa Tanganyika kuuzwa na mzanzibari.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
Umepanic
 
Ni laana kumuacha mzanzibari auze aridhi ya bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…