Are spies made or born?

Are spies made or born?

Here rises another mistery wakuu!! Does this principle apply to "assassins" as well??? Are assassins also made or born cuz getting rid of someone you are not in standoff with but just at the behest of your superiors, is no easy task brothers.
Pagumu hapa mmmhh!!!

mtoto akizaliwa katika jamii huwa anabembelezwa na na kila mtu atamuona kama malaika...hana dhambi, hajui lolote juu ya dunia hii...kadri anavyokuwa na ubongo wake ulio katika kundi la ''tabula lasa'' taratibu unaanza kushika vitu anaanza kuelewa mambo kwa hatua...mtoto huyu akikuwa na akawa mtu mzima na akawa na tabia za ajabu kama ujambazi kila mtu atashangaa malaika huyu aliyekuwa mdogo amepatwa na nini.....

kuna vitu tunazaliwa navyo...viko ndani lakini vingine tunajifunza kwa kadri tunavyokuwa..binti akitoa mimba na kuua kicanga au kukitupa chooni sijui kama nae huyu kazaliwa na tabia ya kuua au amejifunza ukubwan baada ya kuona maisha magumu basi akaamua kufanya vile....

nikijikitaka tika swali lako nianze kwa kusema hivi...mauaji mengi hupangwa mara baad aya kuona hatari ya mtu falni katika jamii..kuwa uwepo wake ni hatari kwa ustawi na usalama wa eneo au nchi kwa ujumla na hivyo akiondolewa kuna mengi ya heri na usalama yatapatikana..kwa hiyo ni lazima faida za kumuondowa ziwe ni nyingi na za maana.,,mipango yote hii ni lazima ifanywe kwa siri na hairihusiwi kuandika mahali popote pale.

sasa ili kufanikisha jambo hli ni lazima kujua kabisa kwamba yule mlengwa anafahamu juu ya maisha yake...je anafahamu kuwa anaweza kuuwawa? je hafahamu kama yu katika hatari? analindwa? halindwi?

kama hafahamu kuwa anaweza kuuwawa na hana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa ''rahisi''(simple) , kama anafahamu yu katika hatari na ana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa '' fukuza'' na kama analewa na analindwa huitwa''ulinzi''....sasa baada ya kuona mlengwa yu katika hali gani basi kusudio la kumuondoa na mipango husukwa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kumbuka no paper work ni kichwani tu!!! mipango hii hasa ni lazima izingatie maisha ya mlengwa na ratiba zake, anapenda nini,anaishi wapi, ni mlevi au si mlevi anapenda wanawake sana? nk... maisha yake lazima yawe yanajulikana kila kitu.

hilo likikamilika hatua inayofuata ni kupanga nani akakamilishe kazi ile na aikamilishe kwa namna ipi? kama ni kuikamilsha na yeye kubaki hai basi process hiyo huitwa ''salama''(safe) kama nae itabidi kufa wakati wa kukamilisha zoezi basi process hiyo hiutwa ''poteza''(lost)...anaweza kuandaliwa kulingana na mazingira ya utekelezaji wa tukio hilo kama nani lazima awe na sifa zifaazo (must be determined,intelligent, resourceful and physically active.)..mtu mwnye moyo kwa kwale hatakiwi hata kidogo....kupoteza maisha ya mtu si mchezo...so mtu muoga muoga hatakiwi kabisa ..kuna watu hawawezi hata kuuwa mbwa!!...kama muuaji itampasa kuuwawa basi lazima aangaliwe mtu mwenye mlengo flani wa kidini, kisiasa au mwenye haja ya kulipiza kisasi...

hayo na mengine mengi yakifanyika basi njia ya kukamilisha zoezi hupangwa mchoro mzima lazima uandaliwe....remember no paper work!!...mda wa kukamilisha zoezi na wapi hupangwa....haijalishi itachukua mda gani kikubwa yule targeti lazima apotee ndani ya mda uliopangwa...zipo mbinu kibao sana ni nyingi mno ..za maumimvu makali, zisizo na maumivu makali ....na yule muuaji ni lazimaaandaliwe au waandaliwe na ni muhimu pia asijue/wasijue rule of the game ikoje sababu hasa ni nini ya kukamilisha zoezi...wao ni kukamilsha zoezi tu.

wapo walizaliwa wakiwa na roho ngumu sana hasa wanawake ni wazuri sana katikakukamilisha mambo haya hasa kama unataka kutumia njia isiyo na maumivu na kama targeti anapenda mambo yetu yalee...(mmiliki mmoja wa mahoteli huko dar alipotea kwa njia hiyo)..alikwa anapenda sana blowjob...

kuna jamaa mmoja anaitwa chepuga miaka ya mwanzoni 2000 huko kwnye mbuga za wanyama ruaha yeye alikuwa bingwa wa kuuwa tembo..jamaa alikuwa katili sana yule...hakuwa na huruma kabisa...pengine huyu ne alizaliwa akiwa hivyo maana hakutengenezwa mahali...kuna siku askari wanyamapori walikuta kijana mmoja aliekwenda nae kuwinda anachoma nyma ya swala porini na jamaa huyo alikuwa ameenda kukusanya kuni..askari wale walimkata miguu yule kijana kwa risasi wakamwacha pale yule ..chepuga akarudi na kuni zake na kumkuta kijana analia pale akajua moja kwa moja waliotenda hivi ni askari wanyama pori...alichokifanya pale ni kummalizia yule kijana kwa risasi na akamzika kule kule..yeyey akarudi mpaka kijijini kwake madibira...akajipanga ....akarudi porini siku nyingine safari hii alikwenda si kuwinda tembo bali kuwasaka askari wa wanayama pori..akaliona gari likiw alimesheheni askari..kwa njia zake anazozijua yeye aliwauwa askari 12 pale pale akabaki dreva wa gari...akamuamuru akusanye silaha za askari wenzake na apakie miili ya wenzake kwenye gari..yule askari akatii....baadaya hapo akamuamuru aendeshe gari lile mpaka kituo cha polisi madibira...kupfika pale polisi chepuge akafyatua risasi na kumuua yule dreva...kisha akaowambia polisi mizigo yenu hiyo....akaondoka.....

alitafutwa kwa njia zote hadi alipopatikana na na iliamliwa asiuwawe...akapelekwa dsm ..baadaya hapo wakamuomba aachane na kazi ya kuwinda tembo bali sasa awe mlinzi wa kuwalinda tembo..akakubali...akapewa piki piki na silaha akarudishwa ruaha akawa anakaa huko ni weli allisaidia sana kukamata majangiri akisaidiana na askari wa wanyamapori..baada ya miaka kama mitatu ilitengenezwa fomula nzuri sana kisha akaungana na wale askari aliowauwa...

nimalize kwa kusema kuwa wapo waliozaliwa na roho ngumu na wengine nyepesi....na wengine hufunshwa ujasiri wa kutekeleza mambo hayo hataka kama wana roho nyepesi...zoezi hili hufanyika kwa usiri mkubwa na pengine muuaji asijue sababu hasa ni ipi...lazima wahusika wawe na wachache..waliojipanga sawa sawa....

ngoja niulze swali....hivi ikiotokea siku moja sukari ikapigwa marufuku (yaani ikawekwa kwenye kundi moja na cocaine au heroin) kutumiwa na binadamu unadhani nini kitatokea katika jamii?..

jion njema
 
Hivi Membe ilikuwaje akafukuzwa kazi Usalama wa Taifa? Je ni kweli alifanyiwa ubaya na Kitine pamoja na Apson? Je hoyo inaweza kutupatia picha kwa nini hawa watu wamekuwa mahasimu?

Pinda alikuwa kitengo gani Tiss?
 
Alaaa kumbe? ??!!!!
Hebu tupe dondoo mkuu maana wengine ndio unatutoa tongotongo!!!
 
Hao wote ni watu wa TISS lakini Membe vna Kitine vita yao imetoka mbali sana sasa naona Apson naye kashaingizwa kwenye bifu

So basically membe ana vita against former Spy Chiefs. The question is what of CCM wakimpitisha Membe kuwa mgombea wao na akashinda urais in 2015? Ina maana Apson na Kitine itabidi wapotee maana Membe alisema live on TV maadui wake watakimbilia Kenya...some scary Sh*t
 
They say it takes one to know one; before a man there is a man and after a man there is a man!!!
May I rest my case, sir!!!!!
 
mkuu sijakuelewa vizuri hapa. naomba ufafanuzi zaidi katika hili

mfano unaweza kuwa unavyo viashiria muhimu lakini wewe ni mpayukaji kwa sana. hivyo unaweza usiingizwe "kundini" ila ukatumiwa tu. mfano kusambaza kwa kujua au kutojua taarifa ya kupotosha (wanaokutumia wanakupa hiyo taarifa na kudai ni "nyeti" huku wakijua ni taarifa ya uongo na kwa hulka yako utaisambaza tuu)
 
Kafara

Hiyo ni kweli kabisa. Mfano walivyomtumia yule mbunge wetu ambaye ni agent wa shirika la ujasusi la BND
 
mfano unaweza kuwa unavyovyo viashiria muhimu lakini wewe ni mpayukaji kwa sana. hivyo unaweza usiingizwe "kundini" ila ukatumiwa mtu. mfano kusambaza kwa kujua au kutojua taarifa ya kupotosha (wanaokutumia wanakupa hiyo taarifa na kudai ni "nyeti" huku wakijua ni taarifa ya uongo na kwa hulka yako utaisambaza tuu)

Sure, "bloody mouthed"!!!
 
Hao wote ni watu wa TISS lakini Membe vna Kitine vita yao imetoka mbali sana sasa naona Apson naye kashaingizwa kwenye bifu

So basically membe ana vita against former Spy Chiefs. The question is what of CCM wakimpitisha Membe kuwa mgombea wao na akashinda urais in 2015? Ina maana Apson na Kitine itabidi wapotee maana Membe alisema live on TV maadui wake watakimbilia Kenya...some scary Sh*t

None sense!!!!
 
mtoto akizaliwa katika jamii huwa anabembelezwa na na kila mtu atamuona kama malaika...hana dhambi, hajui lolote juu ya dunia hii...kadri anavyokuwa na ubongo wake ulio katika kundi la ''tabula lasa'' taratibu unaanza kushika vitu anaanza kuelewa mambo kwa hatua...mtoto huyu akikuwa na akawa mtu mzima na akawa na tabia za ajabu kama ujambazi kila mtu atashangaa malaika huyu aliyekuwa mdogo amepatwa na nini.....

kuna vitu tunazaliwa navyo...viko ndani lakini vingine tunajifunza kwa kadri tunavyokuwa..binti akitoa mimba na kuua kicanga au kukitupa chooni sijui kama nae huyu kazaliwa na tabia ya kuua au amejifunza ukubwan baada ya kuona maisha magumu basi akaamua kufanya vile....

nikijikitaka tika swali lako nianze kwa kusema hivi...mauaji mengi hupangwa mara baad aya kuona hatari ya mtu falni katika jamii..kuwa uwepo wake ni hatari kwa ustawi na usalama wa eneo au nchi kwa ujumla na hivyo akiondolewa kuna mengi ya heri na usalama yatapatikana..kwa hiyo ni lazima faida za kumuondowa ziwe ni nyingi na za maana.,,mipango yote hii ni lazima ifanywe kwa siri na hairihusiwi kuandika mahali popote pale.

sasa ili kufanikisha jambo hli ni lazima kujua kabisa kwamba yule mlengwa anafahamu juu ya maisha yake...je anafahamu kuwa anaweza kuuwawa? je hafahamu kama yu katika hatari? analindwa? halindwi?

kama hafahamu kuwa anaweza kuuwawa na hana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa ''rahisi''(simple) , kama anafahamu yu katika hatari na ana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa '' fukuza'' na kama analewa na analindwa huitwa''ulinzi''....sasa baada ya kuona mlengwa yu katika hali gani basi kusudio la kumuondoa na mipango husukwa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kumbuka no paper work ni kichwani tu!!! mipango hii hasa ni lazima izingatie maisha ya mlengwa na ratiba zake, anapenda nini,anaishi wapi, ni mlevi au si mlevi anapenda wanawake sana? nk... maisha yake lazima yawe yanajulikana kila kitu.

hilo likikamilika hatua inayofuata ni kupanga nani akakamilishe kazi ile na aikamilishe kwa namna ipi? kama ni kuikamilsha na yeye kubaki hai basi process hiyo huitwa ''salama''(safe) kama nae itabidi kufa wakati wa kukamilisha zoezi basi process hiyo hiutwa ''poteza''(lost)...anaweza kuandaliwa kulingana na mazingira ya utekelezaji wa tukio hilo kama nani lazima awe na sifa zifaazo (must be determined,intelligent, resourceful and physically active.)..mtu mwnye moyo kwa kwale hatakiwi hata kidogo....kupoteza maisha ya mtu si mchezo...so mtu muoga muoga hatakiwi kabisa ..kuna watu hawawezi hata kuuwa mbwa!!...kama muuaji itampasa kuuwawa basi lazima aangaliwe mtu mwenye mlengo flani wa kidini, kisiasa au mwenye haja ya kulipiza kisasi...

hayo na mengine mengi yakifanyika basi njia ya kukamilisha zoezi hupangwa mchoro mzima lazima uandaliwe....remember no paper work!!...mda wa kukamilisha zoezi na wapi hupangwa....haijalishi itachukua mda gani kikubwa yule targeti lazima apotee ndani ya mda uliopangwa...zipo mbinu kibao sana ni nyingi mno ..za maumimvu makali, zisizo na maumivu makali ....na yule muuaji ni lazimaaandaliwe au waandaliwe na ni muhimu pia asijue/wasijue rule of the game ikoje sababu hasa ni nini ya kukamilisha zoezi...wao ni kukamilsha zoezi tu.

wapo walizaliwa wakiwa na roho ngumu sana hasa wanawake ni wazuri sana katikakukamilisha mambo haya hasa kama unataka kutumia njia isiyo na maumivu na kama targeti anapenda mambo yetu yalee...(mmiliki mmoja wa mahoteli huko dar alipotea kwa njia hiyo)..alikwa anapenda sana blowjob...

kuna jamaa mmoja anaitwa chepuga miaka ya mwanzoni 2000 huko kwnye mbuga za wanyama ruaha yeye alikuwa bingwa wa kuuwa tembo..jamaa alikuwa katili sana yule...hakuwa na huruma kabisa...pengine huyu ne alizaliwa akiwa hivyo maana hakutengenezwa mahali...kuna siku askari wanyamapori walikuta kijana mmoja aliekwenda nae kuwinda anachoma nyma ya swala porini na jamaa huyo alikuwa ameenda kukusanya kuni..askari wale walimkata miguu yule kijana kwa risasi wakamwacha pale yule ..chepuga akarudi na kuni zake na kumkuta kijana analia pale akajua moja kwa moja waliotenda hivi ni askari wanyama pori...alichokifanya pale ni kummalizia yule kijana kwa risasi na akamzika kule kule..yeyey akarudi mpaka kijijini kwake madibira...akajipanga ....akarudi porini siku nyingine safari hii alikwenda si kuwinda tembo bali kuwasaka askari wa wanayama pori..akaliona gari likiw alimesheheni askari..kwa njia zake anazozijua yeye aliwauwa askari 12 pale pale akabaki dreva wa gari...akamuamuru akusanye silaha za askari wenzake na apakie miili ya wenzake kwenye gari..yule askari akatii....baadaya hapo akamuamuru aendeshe gari lile mpaka kituo cha polisi madibira...kupfika pale polisi chepuge akafyatua risasi na kumuua yule dreva...kisha akaowambia polisi mizigo yenu hiyo....akaondoka.....

alitafutwa kwa njia zote hadi alipopatikana na na iliamliwa asiuwawe...akapelekwa dsm ..baadaya hapo wakamuomba aachane na kazi ya kuwinda tembo bali sasa awe mlinzi wa kuwalinda tembo..akakubali...akapewa piki piki na silaha akarudishwa ruaha akawa anakaa huko ni weli allisaidia sana kukamata majangiri akisaidiana na askari wa wanyamapori..baada ya miaka kama mitatu ilitengenezwa fomula nzuri sana kisha akaungana na wale askari aliowauwa...

nimalize kwa kusema kuwa wapo waliozaliwa na roho ngumu na wengine nyepesi....na wengine hufunshwa ujasiri wa kutekeleza mambo hayo hataka kama wana roho nyepesi...zoezi hili hufanyika kwa usiri mkubwa na pengine muuaji asijue sababu hasa ni ipi...lazima wahusika wawe na wachache..waliojipanga sawa sawa....

ngoja niulze swali....hivi ikiotokea siku moja sukari ikapigwa marufuku (yaani ikawekwa kwenye kundi moja na cocaine au heroin) kutumiwa na binadamu unadhani nini kitatokea katika jamii?..

jion njema

Ee huuu!!! kazi kwel kwel
 
Msingeanzisha thrwad kama hamtaki maswali
 
Back
Top Bottom