Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Kwa akili ndogo tu lazima ujue humu kuna watu wa fani tofauti na viwango vya elimu hata uelewa tofauti. ungekua na akili kama watu wengine ungeanza ku define terms kama DFHS. NASA. UFO. PIXTEL. PICK AXE. NONSENSE ETC. watu wengi hawana muda wa ku google terms zote hizo ndio wachangie. YOU HAVE VERY LITTLE KNOWLEDGE WHICH IS POISON. KHUBHAVH SHWAIN
 

Sasa hapa umefafanuwa nini? Hii google copy & paste?
 
Sasa hapa umefafanuwa nini? Hii google copy & paste?
\

Yeah mkuu nimeikuta kwenye encycripedia hope unaweza anzia hapo ukizingatia mleta mada keshaweka maana ya DHCS connect dots hapo anza nawe kuchangia sasa mkuu Matola.
 
Last edited by a moderator:
.

KUNA Engineering Na Engineer. Engineering ni Fani ya Darasani Na Engineer ni Mtu nadhani umeelewa. Engineer ni uwezo wa kitaalam wa Mtu/watu kukusanya mifumo ya kiuchumi Na kiteknolojia Na kuitumia kutafuta suluhu ya matatizo yanayoikumba jamii Yake Leo Na baadae.

Siasa zetu zimetufanya tuwe Na Tabia mbaya sana ya kutukana kila kitu. Wanasiasa Na wafuasi Wao wenye midomo ya kuropoka wanadhani wana kitu Cha kulisukuma taifa mbele ilihali hata uwezo wa kutengeneza kijiko hawana.

Wataalam wengi, wajuzi hasa Wa vyuo vikuu Na penginepo sio wazuri sana wa kuongea majukwani hata kimaandishi. Viongozi wazuri hutoa nafasi pana sana Kwa wataalam wake kutoa suluhisho la matatizo ya kijamii sio kila kitu Mtu anaropoka.

Tusipende kuropoka that's why I hate African politics. Nadhani ifike wakati Wataalam wetu wapewe nafasi kila sekta, sio siasa kuanzia asubuhi Hadi Usiku.

Luna siku niliwahi kufafanua hapa uwezekano wa mfuko wa Sement Kuwa bei ya Chini lakini mijitu kusikia NENO Dr. Slaa ikaingiza Siasa sana hata kuliko ubichi Wa Hoja Kwenye

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/278291-dr-slaa-mfuko-wa-cement-utakuwa-tshs-5-000-ni-kweli-100%25.html

Siasa zetu zinaua kila kitu.. Hatuzijui tuziacheni..!
 
Huyuu kunaa mtuu alimdadavuliaa kwaju juu nayeye akaongezea na google yakee kajaa hapaa akoo na jazibaa paniki uwogaa ndoo maana maelezoo kama hajatulia ivi nilishaa ona bbc swahili cjui ni Mexico ndoo naona waliweka jiji zimaa linaonekana navinavyo fanyika
mambo yana endaa nakubadilikaa na akili nazoo hubadilikaa
 

I bet, google is your best friend.
Thanks.
 
Eti anajiita eng. bihagaze si muha huyu. tangu lini muha akawa engineer. Kwetu bihagaze ni kuku aliyechinjwa na mtoto mkorofi
 
Eti anajiita eng. bihagaze si muha huyu. tangu lini muha akawa engineer. Kwetu bihagaze ni kuku aliyechinjwa na mtoto mkorofi

Hajiiti Engineer bali taaluma yake inamtambulisha hivyo. Upendi saga chupa ubwie.

Kabila yake na taaluma yake vinahusiana vipi? Pimbi kabisa wewe.
 
Hajiiti Engineer bali taaluma yake inamtambulisha hivyo. Upendi saga chupa ubwie.

Kabila yake na taaluma yake vinahusiana vipi? Pimbi kabisa wewe.

Ungejua muha ni mtani wangu nambari wani kama ccm na CHADEMA ungekaa pembeni
 
Mwalimu mzuri ni yule ambaye baada ya kuwasilisha somo lake wanafunzi wake watalipuka na maswali mengi ya kudadisi au kujua zaidi, maana wamemuelewa. Jamani tujitahidi kuweka mawazo yetu kwa njia ambayo wengi wataelewa kwa urahisi na haraka, nina hakika si wote wanajua maana ya UFO,DHCS n.k[h=2][/h]
 
^^
Ni taarifa nzuri ya kitaaluma ambayo inatupa habari kuwa wenzetu wako mbali sana! Na daima tutabaki kuwa wa mwisho. Hata hivyo na sisi tumewazidi kidogo,tunarogana,tunauana kwa tindikali,tunashinda juani kuwatazama wanasiasa wakiuza maneno kwa gharama ya maisha yetu!
Poor Africa. Asante sana
Eng .Y. Bihagaze
binafsi nimenufaika
^^
 
Last edited by a moderator:

Ndio faida yakutumia simu ya touch
 
.
Watu wengi tunapenda kujua habari Za Mambo mengi Kwa wepesi au ugumu wake. UFO. Kwenye ulimwengu Wa miongo michache iliyopita DUNIA ilishuhudia ujio wa vitu vya Angani visivyo kuwa Na Tafsiri Kwenye kamera Za Kiusalama. Vitu hivyo (objects) vimekuwa Sababu ya baadhi ya dalili Za Tishio Kwa Ulimwengu wetu huu.

Lakini uoga hasa wa Mataifa yanayojiita Yenye Nguvu Na of-course wana power ni kujihadhari Na Ujio wa viumbe kutoka Sayari nyingine (Allien) ambao wanasadikika Kuwa Na uwezo Mkubwa wa kiteknolojia kuliko akili Zetu Za Duniani.

Wataalam Wa mataifa yaliyosonga Mbele wakawekeza tafiti kubwa kung'amua This Unidentified Flying Objects, Na kuzitafsiri endapo zinatokana Na shughuli Za kidunia(factory or industrial wast matters) , au ni silaha mpya Za kigaidi Na pengine kugundua endapo ni mabaki ya Kazi kutoka sayari nyingine.

Wanasema Kule Boston Karne ya 16 alipotokea alien wa kwanza alileta madhara makubwa yaliyotokana Na kutojiandaa.. Na Baadae alien mwingine alipokanyaga Ardhi ya wamarekani alizalisha Frquency above 70Hz iliyozidi kaniuwezo wa mashine Za kuzalisha umeme ambao standard ni Kwenye mawimbi (frequency) ya 50Hz Na ikizidi sana 60Hz, so <70Hz load mashine zikazima Na mji ukawa kiza.

Tunasema Kwamba audio SUN frequency ambayo ni 126.22Hz can be attained. Unajua mtoto anapozaliwa hutoa sauti inayopimwa kwA mawimbi ya 432Hz. Kama kuna Mtu anayeweza kutoa mawimbi plus or minus 0.005 ya 126.22Hz anaweza kulichallange Jua likapoteza mwanga wake.. This fact is true.
 
Eti anajiita eng. bihagaze si muha huyu. tangu lini muha akawa engineer. Kwetu bihagaze ni kuku aliyechinjwa na mtoto mkorofi
watan wetu ni wale tuliowapiga vitani au tuliwasaidia vitani-sijui wewe ni wapande ipi
 

Yani ukishusha material kama haya vibaja wote waliovamia JF wanapita mbio kama hawaioni hii thread. Wao wanachojuwa ni mipasho tu wakiongozwa na Ritz ZeMarcopolo sixgeat The Big choo Boko haram and likes.
 
Last edited by a moderator:

Hadithi za kufikirika hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…