Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?


Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?
 

As an addition Our galaxy alone hosts not millions but about 400Billion stars with 17Billion earth alike and more than 260 of the 17Bil confirmed to be in the habittable zone! Hii ni kwa milky way, the math says kuna as many stars out there as there is sand on earth! As much as we know there could be Infinity number of stars na zote zina altleast one orbiting planet. Jamani kwa hizi numbers come on atleast a dozen of planets zitakua na living organisms, till no tofauti na ile "WoW signal" still bado significant scientific alien related event haijagundulika!! But the research is on going, kuna probe walirusha back in the 70s huko mpaka sasa imeshatoka outside our solar sys who knows huko mbele!! Hopefully if they show up they'll come in peace(fo real)! Ila i must say nashidwa kuplace existance of aliens kwene vitabu vya dini kabisa! Anyone?
 
Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?

Gud argument!..hata me sijawahi kuskia habar za alliens place yoyote zaid ya USA!
 
Samahan Kama Naenda Nje Ya Maada Vp Kuhusu Viumbe Vngne Kama Vampires, Golins Na Warewolves.... Wamesha wah Kuwepo?? au Wan exist Untill Now??

hao mythical creatures, hakuna evidence ya uwepo wao, ni hadithi tu
 
NASA controll internet & almost everything concerning technology.

What makes you think they wont be able to put wrong info to confuse & redirect every one to the path they want you to beleave??
 
Kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanaopoteza muda wao kukesha eti wanaangalia BBA.
Na eti kuna mtu anasema Tanzania tuna wawakilishi. Mshiriki yeyote wa BBA kutoka Tanzania haniwakilishi mimi (hii ni yangu binafsi), anawawakilisha wapenzi wa BBA walioko TZ.
Kuna kipindi walijaribu kuliongelea hili suala bungeni ila naona wakafumbwa mdomo. Sitashangaa siku akishinda akapokelewa na waziri
 

Mkuu nimecheka sana hapo kwenye red....
 
Hawa vuimbe wapo na inasemekana wana techinologia ya hali ya juu kabisa. Wamewahi kuonekana nchi mbali mbali zikiwemo USA, URUSI, ULAYA NA HATA ASIA
Mfano kwa Urusi hivi viumbe vilisahau kifaa chao ambacho baada ya kuokotwa ilisemekana hakuna nchi inayo tengeneza hicho kifaa. Na hawa viumbe huwa wanakuja Duniani kufanya utafiti na kuna watu walisha wahi kukamatwa na hiv viumbe kwa ajili ya uchunguzi
 
mkuu hakuna alien ilikua ni vita baridi ya marekani na urusi iliozaa hivi viumbe. walikua wakitumia vifaa vya ajabu kupigana na kuwasingizia aliens.

Nishawahi kuona ripoti ya shirika la utafiti wa anga la juu la marekani NASA,kwamba katika moja ya safari za wanaanga walipokuwa wanakwenda kutua mwezini njiani waliona chombo chenye viumbe wa ajabu.Lakini baadae kikatoweka kwa spidi kubwa
 
Nishawahi kuona ripoti ya shirika la utafiti wa anga la juu la marekani NASA,kwamba katika moja ya safari za wanaanga walipokuwa wanakwenda kutua mwezini njiani waliona chombo chenye viumbe wa ajabu.Lakini baadae kikatoweka kwa spidi kubwa

Niliiyona pia wanasema"walivyofika mwenzin waliona kwa mbali kuna viumbe vimefika navyo vinafanya utafit hawakuweza kuvifwatilia kwa sababu vipo nje ya eneo wanaolifanyia utafit kwahiyo kutoka nje ya hilo eneo ingekuwa hatar kwao"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Mkuu nilivyosikia ilikuwa hiv na nalikebishwe kama sipo sahihi"kulikuwa na vita mbinguni shetani na maraika zake wakashindwa na wakatupwa dunian shetan hana sura mbaya kama watu wadhaniavyo kumbuka alikuwa ni mmoja kat ya maraika wazur ambao akitembea mwil wake unapiga vinanda.Basi inasemekana kaini ilizaliana na hao wana ambao wametambulika kama majitu au wanephine.Pia inasemekana kile kizaz kilitoweka kipind cha Nuhu kwa lile ghalika

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Haya ni mashetani tu yanakuja kwa njia hiyo kutughilibu binadamu hasa wale wanaotaka kuacha kufanya majukumu yao na kutaka kushindana na Mwenyezi Mungu, yaani mataifa makubwa ya urusi,na marekani. Sioni ajabu kwa haya mapepo kutokea kwa hitler kwani ameangamiza mamilioni ya watu; ambayo ndio kazi ya shetani.
 
Hamna ukwel wowote wa kuwepo kwa hawa viumbe
Unategemea mtu yeyote makini can by this one paragraph excuse without deeper explanation? Tusijizoeze vitu rahisi rahisi, toa maelezo ya kina with vivid evidence, JF na Facebook ni vitu viwili tofauti kabisa kwanza ulitambuwe hilo kabla ya kupost chochote humu, hii ni shule zaidi ya vyuo rasmi unavyovifahamu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…