KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa taarifa nilizonazo,ni kweli kwamba hawa viumbe wapo na inasemekana teknolojia yao iko juu,kuna hata shuhuda mblmbl..nchini marekani watu kadhaa tofauti wamekaririwa wakisema wamekutana na hao viumbe kla mmja kwa wakt wake,na kwa video za satellite zinazotumika kimeshaonekana kimoja kikipita kuzunguka dunia,na kuna taarifa za vyombo kama visahani kutua duniani na kuondoka kwa mwendo kasi sana na vingine vilitoa moto..hivyo vinasadikiwa kuendeshwa na hao viumbe wa ajabu.kulikuwa na mgogoro marekani,watu kadhaa wakiishutumu kwa kuficha siri fulani kuhusu hawa viumbe..unaweza kwenda google na andika neno ufo..halafu angalia video zake za you tube,utafunguka kwa kiasi kikubwa.
mimi nafuatiliga sana habari za alliens n the universe, it is possible that we are not alone in the universe, yani kuna viumbe wengine kwenye sayar zingine... the mathematics is simple, kuna nyota zaidi ya mamillion, na kila nyota kama jua ina sayari zaid ya mbili kama sikosei, sasa ili pawe na viumbe hai katika sayari zingine inabid sayari hyo iwe umbali na jua lake kama dunia ilivyo mbali na jua yani hakuna joto sana wala baridi sana ndo mana kuna viumbe duniani.
sasa ukipiga probability ya kirahisi hapo tuseme tu kwenye kila nyota laki moja kuna nyota moja yenye sayari ya viumbe hai yani probability of 1/100,000 sasa tuseme ulimwengu una nyota 1,000,000 ukifanya 1/100,000 × 1,000,000 unapata 10. yani kuna sayari kumi zngne zna viumbe hai!!!!!
mpaka sasa NASA imegundua kama sayari 3 hivi km sikosei amabzo zinatabia kama ya dunia yaani zinaweza support life. sayari hizo zimegunduliwa kwa kutumia a very big telescope inayoelea space kwenye satellite. tatzo ni kwamba hatuwezi kufika huko kwenye hzo sayar hata kwa kutuma robots kama zile za Mars coz hzo sayari zpo umbali ambao hata light ina weza ikatumia miaka 10 kusafari na kama mmnavyojua light inasafiri 300,000,000km kwa sekunde, so pga hesabu hapo mwanawane... na hyo ndo mana tumeshndwa kuwasiliana na viumbe wengine kwa sababu mawasiliano ya radio yametumwa mpaka leo hayajafika na hata yakifika hatujui kama tutaelewena, na sisi kuna vyombo vimewekwa kusikiliza any kind of communications from outside our solar system...
so its posible km kweli viumbe hao walishawahi kufka au ni storiz tu.... lisemwalo lipo kama halipo .................
Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?
Samahan Kama Naenda Nje Ya Maada Vp Kuhusu Viumbe Vngne Kama Vampires, Golins Na Warewolves.... Wamesha wah Kuwepo?? au Wan exist Untill Now??
Kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanaopoteza muda wao kukesha eti wanaangalia BBA.Nakubaliana na wewe kwa 100% kuna uchafu mwingine unaitwa BBA eti mtoto wa Kitanzania naye anakubali kwenda kupigwa akuku danger huku camera zinammulika na wazazi wake wanaona pamoja na Family Member, i see nashindwa kuamini maana mimi hiyo BBA huwa naskip siangalii hata kwa bahati mbaya.
Nakubaliana na wewe kwa 100% kuna uchafu mwingine unaitwa BBA eti mtoto wa Kitanzania naye anakubali kwenda kupigwa akuku danger huku camera zinammulika na wazazi wake wanaona pamoja na Family Member, i see nashindwa kuamini maana mimi hiyo BBA huwa naskip siangalii hata kwa bahati mbaya.
mkuu hakuna alien ilikua ni vita baridi ya marekani na urusi iliozaa hivi viumbe. walikua wakitumia vifaa vya ajabu kupigana na kuwasingizia aliens.
Hii si jamii moja na Mwita Maranya?
Samahan Kama Naenda Nje Ya Maada Vp Kuhusu Viumbe Vngne Kama Vampires, Golins Na Warewolves.... Wamesha wah Kuwepo?? au Wan exist Untill Now??
Nishawahi kuona ripoti ya shirika la utafiti wa anga la juu la marekani NASA,kwamba katika moja ya safari za wanaanga walipokuwa wanakwenda kutua mwezini njiani waliona chombo chenye viumbe wa ajabu.Lakini baadae kikatoweka kwa spidi kubwa
mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nguguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
Unategemea mtu yeyote makini can by this one paragraph excuse without deeper explanation? Tusijizoeze vitu rahisi rahisi, toa maelezo ya kina with vivid evidence, JF na Facebook ni vitu viwili tofauti kabisa kwanza ulitambuwe hilo kabla ya kupost chochote humu, hii ni shule zaidi ya vyuo rasmi unavyovifahamu wewe.Hamna ukwel wowote wa kuwepo kwa hawa viumbe
Hivi wewe mwanamke unan'taka?
Hivi wewe mwanamke unan'taka?