Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

hawa Alien mh mie nadhani ni stori tu za miaka ya 90 na zilitungwa na US ilikutaka kujipaisha! but what i know kuna hawa viumbe au vitu vya ajabu ambavyo vimewahi na vinatokea visivyojulikana vinaitwa UNIDENTIFIED FLYING OBJECTS (UFO) hivi watu mbalimbali wameviona ata kwetu Tanzania naamini kuna watu wameshaviona sema tu tech yetu ipo chini na mara nyingi havionekan kwa majority ni watu au mtu mmoja ndo anaweza kusema leo nimekutana au nimeona kiume cha ajabu...nenden google then type hiyo UFO
 
mkuu historia ya uumbaji nk ni simulizi ambazo watu wa kale waliamua kuandika kwa namna ile ili kuweka kumbukumbu na mtiririko.but infact hakuna uhalisia wa kuwa Mwenyezi Mungu aliumba hiki siku ya kwanza na kile siku ya pili nk na siku ya saba akapumzika? hivi ulishawahi kujiuliza kama Mungu anachoka? kama ni kuchoka basi ilibidi achoke sasa kwa namna dunia ilivoharibika... pia je ulishawahi jiuliza nyoka baada ya kulaaniwa kuwa atatembelea tumbo,kabla ya hapo alikuwa anatembelea nini? mngongo? sijui...miguu? huyo sio nyoka ni mjusi nk....pia kuna historia mbili za uumbaji katika kitabu cha mwanzo....na tumfanye mtu kwa mfano wetu...mtu akawa.Pia alichukua udongo akaufinyanga na kupulizia pumzi ya uhai...so which will you take on? In fact ukidadisi sana mambo ya imani utakuwa kama kingunge...just believe what you believe.
 

True mzazi watu wanadhani 666 itakuja wakati tayari tunayo.These people are very tactical hawakulazimishi ila mwenyewe waingia kwenye mstari!!!!!! Itafika kipindi tena sio mbali kama miaka 5 ijayo hutaweza kununua kitu kwa cash kila kitu electronically tutapanda daladala kwa tigo,z,m na airtel money we ngoja tu!!..
 
Kumbe ndio maana kuna wanaosema Yesu ni Mungu, sasa nimeleewa maana hapo kwenye red ni lazima walikuwa ni wawili au zaidi ya mmoja.

I get the point now.
 
aliens? nenda jukwaa la mambo ya kikubwa utamwona amejaa tele....
 
Kumbe ndio maana kuna wanaosema Yesu ni Mungu, sasa nimeleewa maana hapo kwenye red ni lazima walikuwa ni wawili au zaidi ya mmoja.

I get the point now.
mina faidhina wabarakatu
 
Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?
mkuu sio kwamba hawapo ila taasisi zetu za elimu za juu ni viazi sana wenzetu wanatumia hizi taasisi kuuthibitisha ukweli au kutudanganya try to imagine watu wanaoweza kubadilisha gari ya mafuta iwe inatumia gesi wanatokea veta hakuna cha dit wala udsm ila wanashikilia mabango pale pana wasomi wamefanya nini cha kututhibitishia usomi
 
Sayansi hadi muda huu haijaweza kututhibitishia kwamba kuna uhai nje ya sayari hii ya dunia.

Hata hivyo, sayansi inatuonyesha kwamba uwezekano wa uwapo wa mazingira yanayo-support uhai, ni mwingi katika sayari nyengine katika solar systems nyengine, katika galaxy nyengine huko.

Uwezekano huo si mdogo

Hiyo ni kwa life/uhai kama huu utanaoujua sisi

Tukichukulia kuwa kunauwezekano wa life ya aina nyengineyo, basi uwezekano huo unaongezeka pia


Kwa wale waaminio Mungu, mnavizungumzia vipi viumbe hawa Malaika na Mapepo/Majini?

Hawa wanaishi wapi?

Wanasifa gani?

Na tunawapimaje kama wapo?
 
Gud argument!..hata me sijawahi kuskia habar za alliens place yoyote zaid ya USA!
sio kweli hivo viumbe vipo hata nchi kama china australia malysia vimewahi kuonekana wenzetu hawakubali kubuluzwa na theories tha us wanafanya utafiti wao ila si waafrika tupo tena kama watanzania ndo kabisa hatupenda kuumiza vichwa vyetu kujibu maswali magumu afu na dini zimewakaa wasomi wetu balaa sipingi mungu ila zimewafanya watu wabweteka
 
mimi huwa nashangaa tuna vyuo vikubwa vyenye sifa lakini wazungu ndo wanaokuja kutafiti uwepo wa madini yaani sisi elimu yetu haijatusaidia kugundua lakini huwa naamini kiasi fulani dini zinatupumbaza hata wasomi walio wengi sikatai uwepo wa mungu lakini sisi tumezidi usishangae hadi sasa watu wanaamini umaskini wetu ni mapenzi ya mungu mtu anakufa hata hajafikisha miaka ya ahadi tuliopewa na mungu mtu anasema mapenzi ya mungu wengi wetu tumetawaliwa na majibu mepesi ambayo ubongo wetu haujishughulishi
 
hao mazombi wa maabra mnakuja kutuzuga zuga , ooohhhh marekani kafanya nini , ooohhh mara sijui wameonekana wapi, wacheni longo longo coz hata wahusika wametulia kimyaaa...
 

Mkuu! Hebu jaribu kufuata kanuni za uandikaji. Kama ni haraka au utamu wa kubofya, bofya na nukta, kituo nk... Nazo zipitie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…