Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Kweli mkuu! Kama hapa nimeshindwa kabisa kumwelewa,»»By major mwendwa:Mkuu! Hebu jaribu kufuata kanuni za uandikaji. Kama ni haraka au utamu wa kubofya, bofya na nukta, kituo nk... Nazo zipitie!
mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nguguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
Leo nimetumiwa makala narafiki yangu ikiwa imechapishwa katika mtandao mmoja wa kijamii hapa tanzania,ukielezea kuwapo kwa viumbe hawa waliopewa jina la Aliens.
Stori kama hii ya kuwepo viumbe kama hawa nilisha wahi kudokezewa kwa kuwa mimi huwa mgumu wa kukubali mpaka uthibisho nipatiwe ndio itakuwa rahisi kunibadili mawazo kwajambo au mada utayoleta,kiujumla sikubaliani kuwepo na viumbe kama hawa walio umbwa na Mungu na kuishi katika sayari tofauti na hii,mimi na choamini nikuwa eneo salama kwa viumbe hai ni duniani pekee,baadhi ya taarifa nilizowahi kupewa nikuwa hawaviumbe ni hodari kitechnologia kuliko sisi,pia eti wanaakili kutushinda nawao hutushangaa kama baadhi yetu waliowahi kuwaona nakuwashangaa..Sasa basi ningependa tujuzane ukweli wa hivi viumbe kama kweli vipo au niuzushi wabaadhi ya watu kujitengenezea pesa,kwamfano kuna film ilitoka miaka ya 90 au 2000 hivi ilikuwa inawahusisha viumbe kama hawa...
View attachment 104680View attachment 104681View attachment 104682View attachment 104683
SHUKRANI
hapana sio jamii moja, inawezekana ikawa jamii moja na akina zomba...Hii si jamii moja na Mwita Maranya?
Umesahau kuwa biblia inasema kuwa wakati huo wanefeili walikuwepo tayari duniani. who is wanefili? lakini pia katika sala ya imani ya mitume kwa baadhi ya madhehebu ya kikristo inasema kwa viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana, viumbe visivyoonekana ni viumbe gani?

tunakoenda tutafikia stage ya kuutamani utumwa wa fimbo.just imagine unavyoweza kupata shida ya kupata pesa kisa tu network inazingua na una shida hasa si utumwa.na sio siri agenda yao is to eradecate the use of paper money by using technology and we shall control the whole world na wanaitangaza na kuipa promo na sisi tunashangilia maendeleo subilieni tuje tuyashuhudie maendeleo ndugu zangu hii teknolojia ndio itakayo tumaliza tena vizuri
Leo nimetumiwa makala narafiki yangu ikiwa imechapishwa katika mtandao mmoja wa kijamii hapa tanzania,ukielezea kuwapo kwa viumbe hawa waliopewa jina la Aliens.
Stori kama hii ya kuwepo viumbe kama hawa nilisha wahi kudokezewa kwa kuwa mimi huwa mgumu wa kukubali mpaka uthibisho nipatiwe ndio itakuwa rahisi kunibadili mawazo kwajambo au mada utayoleta,kiujumla sikubaliani kuwepo na viumbe kama hawa walio umbwa na Mungu na kuishi katika sayari tofauti na hii,mimi na choamini nikuwa eneo salama kwa viumbe hai ni duniani pekee,baadhi ya taarifa nilizowahi kupewa nikuwa hawaviumbe ni hodari kitechnologia kuliko sisi,pia eti wanaakili kutushinda nawao hutushangaa kama baadhi yetu waliowahi kuwaona nakuwashangaa..Sasa basi ningependa tujuzane ukweli wa hivi viumbe kama kweli vipo au niuzushi wabaadhi ya watu kujitengenezea pesa,kwamfano kuna film ilitoka miaka ya 90 au 2000 hivi ilikuwa inawahusisha viumbe kama hawa...
View attachment 104680View attachment 104681View attachment 104682View attachment 104683
SHUKRANI
Hii kitu inakuaje Kiranga anaiogopa?
Hii kitu inakuaje Kiranga anaiogopa?
hawa Alien mh mie nadhani ni stori tu za miaka ya 90 na zilitungwa na US ilikutaka kujipaisha! but what i know kuna hawa viumbe au vitu vya ajabu ambavyo vimewahi na vinatokea visivyojulikana vinaitwa UNIDENTIFIED FLYING OBJECTS (UFO) hivi watu mbalimbali wameviona ata kwetu Tanzania naamini kuna watu wameshaviona sema tu tech yetu ipo chini na mara nyingi havionekan kwa majority ni watu au mtu mmoja ndo anaweza kusema leo nimekutana au nimeona kiume cha ajabu...nenden google then type hiyo UFO
Kwahapa bongo viumbe hivi vinapatikana pale magogoni.hivi hawa viumbe wapo bongo?