Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Hao si ndio kama wale tuliokuwa tukiwaona kwenye ile series ya world final conflict?
Kuhusu hoja ya kaini kuoa mke asiyejulikana chanzo chake,nilimuuliza kiongozi mmoja wa dini na akadai kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa kaini alimuoa dada/mdogo wake,kwani watoto wa kike hawakuwa wakihesabiwa nyakati hizo,sikuamini jibu hilo moja kwa moja ila pia sikuwa na uwezo wa kulipinga kwani ni suala lisiloweza kupata ushahidi kiurahisi.