mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Cape Verde wapo kazini! Argentina wakiaga mashindano leo sitashangaa! Je wewe unasemaje?
Ila Azam kama kawa!TBC WATAIRUSHA?
Tofautisha uchambuzi na mtazamo au maoni! Pole!Mcha Mbuzi huyo hapo kamaliza unaambiwa.
Uchambuzi mpauko.
Unachambua ili utoe maoni au mtazamo au kuna mtazamo Bila uchambuzi.uchambuzi na mtazamo au maoni! Pole
MbuziMcha Mbuzi huyo hapo kamaliza unaambiwa.
Uchambuzi mpauko.
Mpira wa kisasa unaamuliwa na benchi la ufundi! Benchi la ufundi likichanga karata vizuri haijalishi mpinzani ni mzuri kiasi gani anaweza kuchemsha tu na uzuri wake!Muda wa Cape Verde kufungasha virago, arudi porini kama timu nyingine za Afrika, umefika.
Bado upo au?Messi Leo anapiga magoli matano mwenyewe. Nilishatabiri tangu jana.
😂😂Bado upo au?
Hizo dakika 8 inacheza timu moja.Refa ana hila kaongeza dakika 8 wakati .pirate haujasimama kivile! Hii dhuluma ya wazi!