Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

Kuna foul cape wamenyimwa ingekuwa kamba Ile dk za lala salama
Vozinha aje yanga
Tena faulo ya wazi kabisa karibu kabisa na 18! dhulma ya wazi pia! Ni kama vile kuna maelekezo kwa refarii kwamba lazima Argentina ishinde! Poa! Sawa wamepata goli la pili lakini si ndani ya 90 bali ndani ya dk 120
 
Tena faulo ya wazi kabisa karibu kabisa na 18! dhulma ya wazi pia! Ni kama vile
Ukizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono ndani ya box. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdomo kwani ana kadi ya njano moja.
 
Ukizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdo
Hapo mpira ulifuata mkono/ball hand na si mkono kufuata mpira/hand ball, VAR ilithibitisha hilo!
 
1783124340296.jpeg
 
Nimesema labda Argentina waokolewe na jitihsda binafsi za Messi! Ngoja tuone!
 
Dah! Sawa bwana! Lakini haijaisha mpaka iishe! Hongera Argentina kwa kupata goli la tatu!
 
Naona furaha ya Argentina ni kama vile wameshinda kombe la dunia!
 
Ukizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono ndani ya box. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdomo kwani ana kadi ya njano moja.
Hakukuwa na penati pale.Mikono kwa jinsi alivyokuwa ameruka ilikuwa sehemu yake na mpira ulifata mikono.VAR walifanya review chap mbona
 
Back
Top Bottom