Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

Hakukuwa na penati pale.Mikono kwa jinsi alivyokuwa ameruka ilikuwa sehemu yake na mpira ulifata mikono.VAR walifanya review chap mbona
Vipi faulo ya Penaar ya kumkanyaga Enzo na kumbuka alikuwa na yellow.

Mimi hoja yangu niliijenga kuonyesha fairness ya refa kwa pande zote.
 
Huko sawa na mimi kwenye hiyo incident ya handball nimesema haikuwa penati.
 
Argentina wala hawawezi kujisifu! Cabo Verde ni ya 67 kwenye mkeka wa FIFA wakati Argentina ni ya 1. Ni sawa na bondia wa uzito wa juu/heavy weight apigane na bondia wa uzito wa unyoya/feather weight halafu heavy weight ashinde kwa point, tena kwa kupishana kwa pointi moja tu!
 
Ila kwa kiwango hiki cha Argentina, wasahau kubeba kombe la dunia! Wakikutana na Ufaransa mbona aibu!
 
Sasa Argentina watakutana Misri 16 bora, je Misri ataweza kutoa upinzani wa ukweli kwa Argentina kama alivyofanya Cabo Verde? Toa maoni yako!
 
Argentina walipofunga moja nikaenda kulala nikajua kuna 5 ikiwemo hat trick ya Messi
 
Argentina wala hawawezi kujisifu! Cabo Verde ni ya 67 kwenye mkeka wa FIFA wakati Argentina ni ya 1. Ni sawa na bondia wa uzito wa juu/heavy weight apigane na bondia wa uzito wa unyoya/feather weight halafu heavy weight ashinde kwa point, tena kwa kupishana kwa pointi moja tu!
Kumbe huwa wanajisifu
 
Ila kwa kiwango hiki cha Argentina, wasahau kubeba kombe la dunia! Wakikutana na Ufaransa mbona aibu!
Ulikuwepo wapi mwaka 2022 pindi Argentina walipo fungwa na Saudi Arabia halafu wakapambana mpaka kupata ubingwa , !?? Mpira haupo hivyo unavyodhani

Though cape Verde wana team nzuri jitahidi kuuona huo ukweli ndio maana Spain wali struggle kupata matokeo mazuri so sio team ya kuibeza

Hata hivyo pia Argentina wana miss mtu kama angel dimaria hawana mtu mwenye Kasi kama aliyo kuwa nayo Angel di- maria angekuwepo ingekuwa ni story nyingine kabisa
 
Sasa Argentina watakutana Misri 16 bora, je Misri ataweza kutoa upinzani wa ukweli kwa Argentina kama alivyofanya Cabo Verde? Toa maoni yako!
Game ngumu sana hiyo misri wapo vizuri sio team ya kuibeza Argentina wanapaswa kuwa makini
 
Back
Top Bottom