Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

Ila kwa kiwango hiki cha Argentina, wasahau kubeba kombe la dunia! Wakikutana na Ufaransa mbona aibu!
Tafuta aliyeweza kuibeat pressing Verde na kupata Magoli zaidi ya mawili ndani ya dakika 90.

Hii ndiyo timu inayoweza kucheza kwa Intensity ile ile kwa dakika 90 na usione madhaifu ila jana uliwaona wakiwagea argentina mipira ambayo huwa hawagawi na hapo argentina wanacheza kwenye mwendo ule ule waliouchagua chini ya Lionel . S.
 
Cape Verde kidogo washangaze dunia

Ova
 
Cape Verde kidogo washangaze dunia

Ova
Hata hivyo wameishangaza dunia! Wanacheza kombe la dunia kwa mara ya kwanza, ni wa 67 duniani kwenye mkeka wa FIFA wakati Algentina wanashika namba 1 lakini pia ni mabingwa watetezi! Kufanya walichokifanya ni maajabu! Wangevuka kikwazo hicho labda angekwamia fainali maana kituo kifuatacho ni Misri!.
 
Napendekeza iwepo mechi ya kufungia sherehe za kombe la dunia siku mbili baada ya fainali. Kwa mwaka huu iwe ni kati ya ATAKAYEKUWA BINGWA VS CABO VERDE
Duuh mjomba wewe ungekua dj ungekua unapiga wimbo wa kusindikizia wimbo uliopita 😀
 
Wabongo wengi naona mmeanza kuiona Cape Verde kwenye hii WC...

Hao watoto ni wabaya sana, wamejenga timu yao ndani ya miaka kama si 5 basi 6 hivi, na wameshakichafua sana kwenye mechi za CAF...
 
Back
Top Bottom