mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
-
- #21
Tena faulo ya wazi kabisa karibu kabisa na 18! dhulma ya wazi pia! Ni kama vile kuna maelekezo kwa refarii kwamba lazima Argentina ishinde! Poa! Sawa wamepata goli la pili lakini si ndani ya 90 bali ndani ya dk 120Kuna foul cape wamenyimwa ingekuwa kamba Ile dk za lala salama
Vozinha aje yanga
Ukizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono ndani ya box. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdomo kwani ana kadi ya njano moja.Tena faulo ya wazi kabisa karibu kabisa na 18! dhulma ya wazi pia! Ni kama vile
Hapo mpira ulifuata mkono/ball hand na si mkono kufuata mpira/hand ball, VAR ilithibitisha hilo!Ukizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdo
Sawa Penaar nae?Hapo mpira ulifuata mkono/ball hand na si mkono kufuata mpira/hand ball, VAR ilithibitisha hilo!
Mbona kimya? au umeshaingia mitini? Usiogope bado .Messi anaweza kupata goli 5 peke yake maana bado dk 15 kwenye saa za nyongeza!Messi Leo anapiga magoli matano mwenyewe. Nilishatabiri tangu jana.
Hata kama, uhalisia kwa mwenendo huu wa mpira unagoma!Hizo dakika 8 inacheza timu moja.
Ilikuwa chupuchupuCape Verde wapo kazini! Argentina wakiaga mashindano leo sitashangaa! Je wewe unasemaje?
Shikamoo mganga 😂👋Messi Leo anapiga magoli matano mwenyewe. Nilishatabiri tangu jana.
Hakukuwa na penati pale.Mikono kwa jinsi alivyokuwa ameruka ilikuwa sehemu yake na mpira ulifata mikono.VAR walifanya review chap mbonaUkizungumzia faulo, vipi mpira uliokuwa ulio guswa na mkono ndani ya box. Tuache excuse refa yupo fair kwa wote,huyo Penaar mwenyewe refa tu anammezea ila angekuwa wakutoa mikadi angekula umeme baada ya kumkanyaga Enzo, refa akamuonya kwa mdomo kwani ana kadi ya njano moja.
Kabisa. Game ilikuwa ngumu sanaArgentina ni ya 1 duniani wakati Cape Verde ni ya 67! Tuwape maua yao Cape Verde!