joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Vipi faulo ya Penaar ya kumkanyaga Enzo na kumbuka alikuwa na yellow.Hakukuwa na penati pale.Mikono kwa jinsi alivyokuwa ameruka ilikuwa sehemu yake na mpira ulifata mikono.VAR walifanya review chap mbona
Huko sawa na mimi kwenye hiyo incident ya handball nimesema haikuwa penati.Vipi faulo ya Penaar ya kumkanyaga Enzo na kumbuka alikuwa na yellow.
Mimi hoja yangu niliijenga kuonyesha fairness ya refa kwa pande zote.
Kumbe huwa wanajisifuArgentina wala hawawezi kujisifu! Cabo Verde ni ya 67 kwenye mkeka wa FIFA wakati Argentina ni ya 1. Ni sawa na bondia wa uzito wa juu/heavy weight apigane na bondia wa uzito wa unyoya/feather weight halafu heavy weight ashinde kwa point, tena kwa kupishana kwa pointi moja tu!
Yule golikipa Vuzi kaharibu mipango.Bado upo au?
Mpira ulidunda.Mbona kimya? au umeshaingia mitini? Usiogope bado .Messi anaweza kupata goli 5 peke yake maana bado dk 15 kwenye saa za nyongeza!
Ureno wangekutana na cape Verde wangeshatolewa.Shikamoo mganga ππ
Wapuuzi , wanajitapa tu. Baadhi ya games hawaoneshi, ujanja DSTV tuTBC WATAIRUSHA?
ππMcha Mbuzi huyo hapo kamaliza unaambiwa.
Uchambuzi mpauko.
πMuda wa Cape Verde kufungasha virago, arudi porini kama timu nyingine za Afrika, umefika.
Refa ana hila kaongeza dakika 8 wakati .pirate haujasimama kivile! Hii dhuluma ya wazi!
Pole unateseka ukiwa wapi ndugu mchambuzi πDah! Sawa bwana! Lakini haijaisha mpaka iishe! Hongera Argentina kwa kupata goli la tatu!
Ulikuwepo wapi mwaka 2022 pindi Argentina walipo fungwa na Saudi Arabia halafu wakapambana mpaka kupata ubingwa , !?? Mpira haupo hivyo unavyodhaniIla kwa kiwango hiki cha Argentina, wasahau kubeba kombe la dunia! Wakikutana na Ufaransa mbona aibu!
Game ngumu sana hiyo misri wapo vizuri sio team ya kuibeza Argentina wanapaswa kuwa makiniSasa Argentina watakutana Misri 16 bora, je Misri ataweza kutoa upinzani wa ukweli kwa Argentina kama alivyofanya Cabo Verde? Toa maoni yako!
Nilisema hivyo piaUreno wangekutana na cape Verde wangeshatolewa.