kangarooTv
New Member
- Jun 15, 2019
- 4
- 0
mgeni mwalikwaInakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
Yeye na Japan wamealikwa. Qatar anaanda Timu kwa ajili ya world cup ya 2022.Inakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
AiseeeeTofauti kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Argentina ni Lionel Messi tu
Colombia anamwachia Paraguay,mark my wordsTunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Inakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
Alisikika shabiki mmoja wa andinje akisema hayo. Karma ya ubaguzi Kwa Africa itawatafuna Argentina mpaka wakome.Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Colombia anamwachia Paraguay,mark my words
Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Argentina akishinda mechi ya Qatar atafuzu kama best loser
World cup ya 2022! Kama sio hii Afcon hata sisi Tz tungealikwa.Yeye na Japan wamealikwa. Qatar anaanda Timu kwa ajili ya world cup ya 2020